-
Kremlin: Russia itatumia silaha za nyuklia uwepo wake ukitishiwa
Mar 23, 2022 07:18Ikulu ya Russia ya Kremlin imesema nchi hiyo haitakuwa na chaguo jingine isipokuwa kutumia silaha za nyuklia iwapo uwepo wa taifa hilo utakabiliwa na vitisho.
-
Sudan yakadhibisha madai ya kuwepo mamluki wa Russia nchini humo
Mar 22, 2022 22:14Serikali ya Sudan imepuuzilia mbali madai ya Wamagharibi wanaodai kuwa, kuna mamluki wa Kundi la Wagner la Russia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Russia yajibu madai ya Biden ya matumizi ya silaha za kibaolojia nchini Ukraine
Mar 22, 2022 08:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Ryabkov amesema Jumanne leo kwamba matamshi yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Joe Biden kuhusu uwezekano wa Russia kutumia silaha za kemikali na za kibaolojia huko Ukraine ni ya kihabithi.
-
Ujerumani yasaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar ili 'kupunguza utegemezi' wa gesi ya Russia
Mar 21, 2022 22:59Kwa kisingizio cha kupunguza utegemezi wa gesi ya Russia, Ujerumani imesaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar.
-
Shutuma za Russia kwa Marekani inayokwamisha mazungumzo ya Ukraine
Mar 21, 2022 22:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergeĭ Viktorovich Lavrov ameishutumu vikali Marekani kwa siasa zake kuhusu vita vya Ukraine na kusema kuwa, Washington ndiyo inayokwamisha kufikiwa makubaliano baina ya Moscow na Kyiv hata katika masuala madogo kabisa. Amesema, hivi sasa Marekani inawatwisha viongozi wa Ukraine misimamo yake na ndio maana Kyiv inakwamisha kila kitu katika mazungumzo yake na Russia.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 02:35Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine
Mar 18, 2022 11:31Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameilaumu NATO kwa vita vya Ukraine na kusema kuwa atapinga wito wa kuilaani Russia. Matamshi haya ya Ramaphosa yanatia shaka iwapo atakubaliwa na Ukraine au nchi za Magharibi kama mpatanishi katika mzozo huo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa WHO: Migogoro yote duniani inapasa ipewe umuhimu
Mar 18, 2022 04:07Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema, wakati macho yote yameelekezwa kwenye mgogoro wa Ukraine, zaidi ya nusu ya idadi ya watu nchini Afghanistan wanahitaji msaada.
-
Russia yaangamiza mifumo 11 ya ulinzi wa makombora ya jeshi la Ukraine
Mar 17, 2022 19:03Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa taarifa ikibainisha kuhusu mchakato wa mashambulizi ya nchi hiyo huko Ukraine na kutangaza kuwa, katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita imeangamiza ndege mbili za kivita, droni 12 na ghala moja la kijeshi la Ukraine.
-
Vituo vya Kiislamu vya Russia vyalaani mashambulizi ya kipropaganda ya Magharibi dhidi ya nchi hiyo
Mar 17, 2022 05:21Vituo vya Kiislamu vya Russia vimelaani propaganda za chuki za nchi za Magharibi dhidi ya Moscow na ubaguzi dhidi ya raia wa Russia.