-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Russia: Hatulitambui tangazo la serikali ya Haftar nchini Libya
Apr 29, 2020 22:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, serikali ya Moscow haikubali utawala wa kujitwika wa kiongozi wa wanamgambo wanaojiita 'Jeshi la Kitaifa la Libya' nchini humo.
-
Russia: Marekani inapaswa kutazama upya maamuzi yake yasiyo sahihi kuhusiana na Iran
Apr 28, 2020 20:19Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amesema kuwa Marekani inapaswa kutazama upya na kubadili maamuzi yake yasiyo sahihi kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mpango wa Pompeo wa kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 28, 2020 02:43Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepangwa kuwa, ifikapo tarehe 18 Oktoba 2020, vikwazo vya silaha dhidi ya Iran viondolewe.
-
Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo
Apr 26, 2020 20:10Serikali ya Rais Donald Trump imekuwa ikichukua hatua zisizo za kawaida katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni ambapo kati ya hatua hizo ni kuafiki rasmi suala la kuunganishwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo bandia.
-
Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA
Apr 20, 2020 01:34Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA yenye baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, vikwazo vya kidhulma vya silaha ilivyowekewa Iran, vinapaswa viondolewe kikamilifu tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020.
-
Tahadhari ya Russia kuhusiana na kuutumia kisiasa mgogoro wa corona
Apr 16, 2020 23:53Katika kipindi hiki cha mgogoro wa mlipuko wa virusi vya corona, Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imeendeleza siasa zake zisizo za kibinadamu dhidi ya nchi hasimu na wapinzani wake, hususn katika kuzidisha vikwazo vya kiuchumi na kuzizuia kupata misaada ya kimataifa. Suala hili limekosolewa sana na madola mengine makubwa duniani.
-
Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia
Apr 11, 2020 09:19Maseneta wa Marekani wametishia kuangalia upya uhusiano wao na Saudi Arabia kutokana na hatua ya Riyadh ya kuendelea kuvutana na Russia juu ya bei ya mafuta ghafi ambayo imeiathiri pia Marekani.
-
Russia: Ripoti ya shirika la upigaji marufuku silaha za kemikali inapotosha ukweli kuhusu Syria
Apr 10, 2020 23:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, ripoti iliyotolewa na shirika la upigaji marufuku silaha za kemikali kuhusu Syria inapotosha ukweli halisi wa kinachojiri nchini humo.
-
Mgogoro wa Corona na sisitizo la viongozi wa Russia la kufutwa vikwazo
Apr 08, 2020 22:12Naibu Mkuu wa Baraza la Federesheni ya Russia amesisitizia udharura wa kufutwa vikwazo duniani kwa lengo la kukabiliana na tishio la Corona.