-
Waziri Mkuu wa Canada: Hatimaye Trump ataonyesha heshima kwetu na atataka mazungumzo
Mar 22, 2025 11:11Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale Trump atakapoonyesha heshima kwa uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Canada.
-
Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine
Jan 24, 2025 03:34Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa kwa kuuza rasilimali zake za nishati za bei ya juu kwa watu wa Ulaya walioathiriwa na vita.
-
Naibu Waziri wa Russia aonya: Ipo hatari ya kuingia kwenye vita vya atomiki na Marekani
Dec 01, 2024 06:15Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Ryabkov ametahadharisha kuhusu "hali ya maafa" ya kutokea makabiliano ya nyuklia kati ya Marekani na Russia.
-
Putin: Ukraine ni kikaragosi tu, Magharibi ndiye adui halisi wa Russia
Jan 02, 2024 10:15Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Ukraine yenyewe si adui, lakini vinara wa Magharibi wanaoiunga mkono nchi hiyo ndio maadui halisi wa Russia.
-
Russia: Msaada wa silaha wa Marekani kwa Ukraine unaiweka Russia na NATO katika makabiliano ya kijeshi
Oct 05, 2022 07:07Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Russia amekosoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine, akisema inaziweka Moscow na NATO kwenye ncha ya makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi.
-
Jeshi la Russia lakomboa Donbass, askari wa Ukraine watimuliwa kikamilifu
Jul 03, 2022 11:20Jeshi la Russia limetangaza mafanikio makubwa ya kuwatimua askari wa Ukraine kutoka Jamhuri ya Watu wa Luhansk, eneo ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine.
-
Marekani: Licha ya vikwazo lakini pato la mafuta la Russia limezidi kuwa kubwa
Jun 15, 2022 07:30Naibu Waziri wa Hazina wa Marekani amekiri kuwa, pato la mafuta la Russia limeongezeka licha ya vikwazo ilivyowekewa Moscow na nchi za Magharibi.
-
Russia yaonya kuhusu uwezekano wa kutokea Vita vya Tatu vya Dunia
Apr 26, 2022 07:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kuwa, hivi sasa kuna uwezekano walimwengu wakashuhudia kutoka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Mashirika ya Ujasusi ya Marekani yamkana Biden; yasema: Russia haijafanya mauaji ya kimbari Ukraine
Apr 16, 2022 10:27Mashirika ya kijasusi ya Marekani yamesema kuwa, hayajapata ushahidi wowote wa kuthibitisha madai ya rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa Russia imefanya mauaji ya kimbari nchini Ukraine.
-
Biden kwa mara nyingine tena ametaka kufukuzwa Russia katika G-20
Apr 07, 2022 07:37Janet Yellen Waziri wa Fedha wa Marekani ameeleza kuwa, iwapo Russia itashiriki katika mikutano ya kundi la G-20 Marekani haitahudhuria mikutano hiyo. Amesema: Rais Joe Biden anataka Russia ifukuzwe ndani ya G-20.