-
Russia: Marekani inawasaidia magaidi wanaoua watoto wa Palestina
Jul 24, 2016 02:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, ripoti zinaonesha kuwa, watu waliomchinja mtoto wa Kipalestina na kuonesha mkanda wa video wa kitendo cha kukata kichwa cha mtoto huyo katika mitandao ya kijamii wanasaidiwa na kuungwa mkono na Marekani.
-
Putin: Madai ya urongo ya magharibi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yamefikia mwisho
Jul 01, 2016 02:47Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, madai ya urongo ya nchi za Magharibi dhidi ya miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani nchini Iran yamefikia tamati.
-
Matatizo ya Waislamu wa Marekani hata baada ya kufariki kwao dunia
May 24, 2016 03:35Waislamu wa Marekani hawakabiliwi na matatizo katika kipindi cha uhai wao tu bali hata wanapofariki dunia matatizo hayo bado huwaandama.
-
Baada ya US, Russia pia kununua maji mazito kutoka Iran
Apr 26, 2016 07:53Russia imetangaza kuwa inapania kununua maji mazito ya nyuklia ya Iran, siku chache baada ya Marekani kufanya muamala na Jamhuri ya Kiislamu juu ya bidhaa hiyo.
-
Russia yapinga matamshi ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani
Mar 11, 2016 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amepinga vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Marekani dhidi ya Moscow akisema kuwa yanaweka hatarini mchakato wa kurejesha amani nchini Syria.
-
Kerry: US, Russia zitalenga Daesh na al-Nusra nchini Syria
Mar 01, 2016 07:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema kuwa Washington na Moscow zimekubaliana kutojadili madai ya kukiuka makubaliano ya usitishaji vita nchini Syria ambayo yalianza kutekelezwa hivi karibuni na kuongeza kuwa vikosi vya nchi mbili hizo vitalenga tu kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na al-Nusra katika mashambulizi yao.