Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Uchaguzi wa bunge waanza Rwanda, RPF yatabiriwa ushindi

    Uchaguzi wa bunge waanza Rwanda, RPF yatabiriwa ushindi

    Sep 02, 2018 08:46

    Wananchi wa Rwanda wameanza kupiga kura katika uchaguzi wa bunge ambao unatazamiwa kukipa ushindi chama tawala cha Rwanda Patriotic Front (RPF).

  • Rais Paul Kagame wa Rwanda awataka viongozi wa Afrika kupambana na uhamiaji haramu

    Rais Paul Kagame wa Rwanda awataka viongozi wa Afrika kupambana na uhamiaji haramu

    Aug 23, 2018 12:16

    Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika amesema viongozi wa kiafrika wana kila sababu ya kuwafanya kusimama kidete kukomesha tatizo la uhamiaji haramu wa vijana wa kiafrika wanaokufa maji wakijaribu kukimbilia mataifa ya ulaya. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi…

  • SAUTI, Marais wastaafu wa Kiafrika wazitaka nchi za bara hilo kuacha tabia ya kuombaomba misaada

    SAUTI, Marais wastaafu wa Kiafrika wazitaka nchi za bara hilo kuacha tabia ya kuombaomba misaada

    Aug 03, 2018 03:27

    Marais saba wa zamani wa nchi za Kiafrika, walianza jana kikao cha siku mbili mjini Kigali, Rwanda ambapo wamesema kwamba serikali zilizoko madarakani barani Afrika zinahitaji mfumo bora wa ukusanyaji mapato.

  • SAUTI, Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi za Afrika wanakutana nchini Rwanda kujadili umuhimu wa kuenzi tamaduni bora

    SAUTI, Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi za Afrika wanakutana nchini Rwanda kujadili umuhimu wa kuenzi tamaduni bora

    Jul 26, 2018 11:52

    Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanakutana mjini Kigali Rwanda katika kujadili masuala muhimu yenye lengo la kuzishauri serikali za mataifa hayo kujiepusha na ukoloni mamboleo.

  • SAUTI, Rais Xi Jin Ping wa China: Beijing imeazimia kuimarisha uhusiano mwema na nchi za bara la Afrika

    SAUTI, Rais Xi Jin Ping wa China: Beijing imeazimia kuimarisha uhusiano mwema na nchi za bara la Afrika

    Jul 23, 2018 11:01

    Rais wa China Xi Jin Ping amesema kuwa, nchi yake imejizatiti kuzidisha ushirikiano wake na bara la Afrika kutoka na hatua ya maendeleo yanayoendelea kuonekana barani humo.

  • Rwanda haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuhusu mitumba

    Rwanda haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuhusu mitumba

    Jun 23, 2018 09:17

    Rwanda imesema haitasalimu amri mbele ya Marekani kuhusu uamuzi wake wa kupiga marufuku nguo za mitumba.

  • SAUTI, Nchi za Afrika zashauriwa kuacha kuiga nchi zilizoendelea, na badala yake zitumie ubunifu wao zenyewe

    SAUTI, Nchi za Afrika zashauriwa kuacha kuiga nchi zilizoendelea, na badala yake zitumie ubunifu wao zenyewe

    Jun 08, 2018 11:34

    Watafiti wa bara la Afrika waliokutana mjini Kigali Rwanda, wameziomba serikali za Kiafrika kuacha kuiga stratijia za mataifa yaliyoendelea, na badala yake watumie ujuzi wazo wenyewe katika uwanja huo.

  • Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti

    Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti

    Jun 05, 2018 13:26

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mazingira, serikali ya Rwanda imepiga hatua nyingine mbele ya kukomesha matumizi ya aina yoyote ya vifaa vya plastiki kwa sababu vinahatarisha maisha ya viumbe hai.

  • Rwanda na Russia zafanya mazungumzo kuhusu kuongeza ushirikiano wa kijeshi

    Rwanda na Russia zafanya mazungumzo kuhusu kuongeza ushirikiano wa kijeshi

    Jun 04, 2018 22:36

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Rwanda wamefanya mazungumzo kuhusu njia za kuongeza ushirikiano wao katika masuala ya kijeshi.

  • Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Jun 02, 2018 08:53

    Hatua ya serikali ya Rwanda kupiga marufuku nguo za mtumba kutoka Marekani imepelekea kuibuka msuguano baina ya nchi hizo mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS