-
Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna
Feb 14, 2022 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna mkwamo wowote katika mazungumzo ya Vienna na kilichopo ni kwamba hivi sasa Iran inasubiri majibu kutoka kwa nchi za Magharibi zinazoshiriki kwenye mazungumzo hayo.
-
HRW: Kila saa moja Myemen mmoja anauawa au anajeruhiwa
Feb 12, 2022 03:21Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti mpya na kusema kuwa, katika mwezi ulioisha wa Januari, kwa kila saa moja kwa uchache Myemen mmoja alikuwa anauawa au anajeruhiwa. Hao ni raia wa kawaida wa Yemen ambao hawahusiki kivyovyote na masuala ya kijeshi.
-
Denmark yawapata na hatia magaidi wafanya ujajusi wa Saudia
Feb 05, 2022 01:10Mahakama moja nchini Denmark imewapata na hatia ya kufanya ujasusi kwa niaba ya Saudi Arabia wanachama wa kundi la kigaidi la Ahvaziyyah, na kuunga mkono harakati za ugaidi nchini Iran.
-
Bin Salman aanzisha mradi wa ujasusi akishirikiana na Israel
Feb 03, 2022 04:47Duru za habari zimetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia meanzisha mradi mkubwa zaidi wa ujasusi na kunasa sauti na mazungumzo simu za mkononi kwa ushirikiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Khatibzadeh: Uhai wa utawala vamizi wa Quds unafungamana na kufanya mauaji
Jan 31, 2022 08:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhai wa utawala vamizi wa Quds unafungamana na ukandamizaji na kufanya mauaji.
-
Saudia yaua raia wa Yemen, ikiwemo familia nzima, katika hujuma dhidi ya Sana'a
Jan 18, 2022 23:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema muungano wa kivita wa Saudi Arabia umetekeleza mashambulizi dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a, ambapo raia 20, ikiwemo familia moja wameuawa.
-
Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon
Jan 15, 2022 23:14Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
Balozi za Iran na Saudia kufunguliwa tena karibuni
Jan 15, 2022 08:42Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa.
-
Khatibzadeh: Ipo ajenda ya kufanyika duru ya tano ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia
Jan 10, 2022 05:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Iran na Saudia zinapanga kufanya awamu ya tano ya mazungumzo chini ya uenyeji wa nchi ya Iraq.
-
Miaka sita tangu kunyongwa Sheikh Nimr, ukandamizaji unaongezeka Saudia
Jan 02, 2022 11:53imepita miaka sita sasa tangu utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulipomnyonga manazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, ambaye alitoa wito wa kuwepo demokrasia katika nchi hiyo na kuitisha maandamano dhidi ya utawala huo