Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Foreign Policy: Saudi Arabia imekuwa kitovu cha dawa za kulevya Asia Magharibi

    Foreign Policy: Saudi Arabia imekuwa kitovu cha dawa za kulevya Asia Magharibi

    Dec 25, 2021 01:01

    Jarida la Marekani la Foreign Policy limeandika kuwa, matumizi ya dawa za kulevya nchini Saudi Arabia yameongezeka kwa kasi kutokana na juhudi za Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman za kubadilisha utamaduni na itikadi za jamii ya nchi hiyo.

  • Ndege za muungano vamizi wa Saudia zauandama mji mkuu wa Yemen kwa mashambulio ya mabomu

    Ndege za muungano vamizi wa Saudia zauandama mji mkuu wa Yemen kwa mashambulio ya mabomu

    Dec 23, 2021 08:34

    Ndege za kivita za muuungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeshambulia kwa mabomo mara kkadhaa mji mkuu wa Yemen Sana'a na kusababisha uharibu mkubwa.

  • Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut

    Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut

    Dec 07, 2021 23:04

    Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema: nafasi haribifu ya Saudi Arabia nchini Lebanon imekuwa kubwa zaidi kuliko harakati chafu za ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.

  • Jeshi la Yemen: Tumeishambulia Wizara ya Ulinzi ya Saudia huko Riyadh

    Jeshi la Yemen: Tumeishambulia Wizara ya Ulinzi ya Saudia huko Riyadh

    Dec 07, 2021 09:46

    Msemaji wa Jeshi la Yemen amebainisha kuhusu "oparesheni ya Disemba Saba" na kueleza kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza oparesheni ya kijeshi ya kipekee huko Riyadh, Jedddah, Taif, Jizan, Najran na Asir katika ardhi ya Saudi Arabia.

  • Emmanuel Macron ashutumiwa kwa kujaribu 'kumsafisha' Mohammed bin Salman

    Emmanuel Macron ashutumiwa kwa kujaribu 'kumsafisha' Mohammed bin Salman

    Dec 04, 2021 23:33

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa mkutano wa Rais Emmanuel Macron na Ufaransa na mriti wa ufalme wa Saudia Mohammed bin Salman jana Jumamosi huko Riyadh yakisisitiza kuwa mkutano huo una lengo la kumsafisha mrithi huo wa ufalme wa Saudia aliyeamuru kuuawa kigaidi mwandishi habari jamal Khashoggi.

  • Marekani yaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika vita vya Yemen

    Marekani yaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika vita vya Yemen

    Dec 04, 2021 23:07

    Mashambulio ya mabomu dhidi ya Yemen yanayofanywa na jeshi la muungano unaoongozwa na Saudi Arabia yanaendelea huku nchi za Magharibi, zinazotoa nara za kutetea haki za binadamu hususan Marekani, zikiendelea kuisaidia Saudi Arabia katika kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Licha ya kujitweza, Saudia na UAE zinamdhalilisha Mansour Hadi

    Licha ya kujitweza, Saudia na UAE zinamdhalilisha Mansour Hadi

    Dec 03, 2021 00:56

    Licha ya rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kutoroka nchi, Abdu Rabbuh Mansour Hadi kujipendekeza na kujitweza kwa Saudi Arabia na Imarati, lakini watawala wa Riyadh na Abu Dhabi wameendelea kumdhalilisha na kumtolea vitisho mwanasiasa huyo wa Yemen mwenye umri wa miaka 76.

  • Ilhan Omar: Uamuzi wa Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia haukubaliki

    Ilhan Omar: Uamuzi wa Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia haukubaliki

    Nov 11, 2021 22:53

    Mbunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, hatua ya nchi hiyo kuiuzia silaha Saudi Arabia haikubaliki kutokana na silaha hizo kutumika kuulia raia wa Yemen.

  • Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko  Ma'rib

    Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko Ma'rib

    Nov 06, 2021 01:34

    Jeshi la Yemen limeendelea kusonga mbele katika mkoa wa Ma'rib na kuchukua udhibiti wa ngome ya mwisho iliyokuwa inakaliwa kwa mabavu na wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia.

  • Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi

    Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi

    Nov 02, 2021 08:53

    Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema katika mahojiano na Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya kwamba, matatizo na mvutano wa nchi yake na Lebanon ni zaidi ya matamshi ya waziri wa habari wa nchi hiyo, kwani Saudia haikubaliani kabisa na suala la kupata nguvu waitifaki wa Iran nchini Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS