-
Bin Salman atekeleza njama ya kumuangamiza mrithi wa zamani wa kiti cha ufalme huku dunia ikiwa imekaa kimya
Jul 15, 2021 06:23Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na habari za kuzorota hali ya haki za binadamu na kuongezeka mateso katika jela za kuogofya za utawala wa Saudi Arabia, moja ikiwa inahusiana na mateso makali dhidi ya Mohammad Bin Nayef, mrithi wa zamani wa ufame wa Saudia.
-
Duru za kuaminika: Muhammad bin Nayef mahututi, anaweza kufa wakati wowote
Jul 13, 2021 23:37Mrithi wa zamani wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Nayef anayeshikiliwa mahabusu ameripotiwa kuwa katika hali mbaya na mahututi na kwamba anaweza kufariki dunia wakati wowote,
-
Sultan Haitham awasili Saudia katika safari ya kwanza ya kiongozi wa Oman baada ya kupita zaidi ya miaka 10
Jul 11, 2021 23:10Sultan Haitham bin Tarik wa Oman amefanya safari ya kwanza nje ya nchi kwa kuitembelea Saudi Arabia, ikiwa pia ni mara ya kwanza kufanywa na kiongozi mkuu wa Oman huko Riyadh baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja.
-
Wimbi jipya la corona latua pia nchini Saudi Arabia, mamia ya watu waambukizwa
Jun 30, 2021 01:48Wizara ya Afya ya Saudi Arabia jana ilitangaza kuwa, watu 1,567 wamethibitishwa kukumbwa na ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha siku moja nchini humo. Hilo lilikuwa ni tangazo rasmi kuwa Saudia imo kwenye wimbi jipya la maambukizi ya kirusi cha corona.
-
Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa
Jun 19, 2021 21:53Shirika la habari la "Palestine Today" limetangaza kuwa, sasa hivi kuna Wapalestina 160 wanaoteseka katika jela za ukoo wa Aal Saud nchini Saudi Arabia. Wapalestina hao wanashikiliwa kwenye jela hizo za Saudi Arabia kwa tuhuma za kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Saudia yawavurumishia maroketi wananchi wa Yemen
Jun 17, 2021 03:31Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la mashambulio ya kikatili dhidi ya Yemen, muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia umeyavurumishia maroketi makazi ya raia katika mikoa kadhaa ya nchi hiyo maskini jirani yake.
-
Jeshi la Yemen latoa picha za askari wa Saudia, mamluki wa Sudan waliokamatwa
Jun 15, 2021 22:04Idara ya Upashaji Habari ya Kamandi Kuu ya Operesheni za Yemen imesambaza picha na mahojiano waliofanyiwa wanajeshi kadhaa wa Saudia, na mamluki wa Sudan waliokamatwa na vikosi vya Yemen katika operesheni ya hivi karibu katika mkoa wa Jizan, huko kusini mwa Saudi Arabia.
-
Makumi ya wanajeshi wa Saudia waangamizwa mkoa wa Jizan
May 30, 2021 03:16Operesheni iliyofanywa na jeshi la Yemen huko kusini mwa Saudi Arabia imeangamiza na kujeruhi makumi ya wanajeshi wa utawala huo wa kifalme.
-
Hizbullah ya Iraq: Wazayuni na Marekani wakiishambulia Saudia, tutakuwa wa mbele kuihami
May 06, 2021 21:52Msemaji wa harakati ya muqawama ya Kataeb Hizbullah ya Iraq amesema, misingi ya muqawama haiwezi kubadilika na akabainisha kuwa, endapo Saudi Arabia itakabiliwa na hatari ya kushambuliwa na Wazayuni na Marekani, mhimili wa muqawama utakuwa wa mbele kuliko yeyote yule kuihami nchi hiyo.
-
Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili
Apr 29, 2021 05:00Faisal bin Farhan bin Abdallah Al Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia alasiri ya Aprili 26 aliwasili Doha mji mkuu wa Qatar ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.