-
Seneta muitifaki wa Trump: Bila "kumshughulikia" Bin Salman, uhusiano wa Marekani na Saudia hauwezi kuendelea
Jan 19, 2019 12:03Uhusiano kati ya Marekani na Saudi Arabia hauwezi kupiga hatua mbele bila ya "kushughulikiwa" mrithi wa Ufalme wa Saudia, Muhammad bin Salman. Hayo yamesemwa na Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Repubican na muitifaki wa karibu wa Rais wa Marekakni Donald Trump.
-
Pembetatu ya kuzua mivutano katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Jan 18, 2019 23:36Katika ripoti yake ya hivi karibuni, shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa hali ya haki za binadamu katika nchi tatu za Saudi Arabia, Imarati na Bahrain ni ya kutisha mno.
-
Mwanasiasa Uturuki: Kufeli Saudia Yemen kumebatilisha njozi za US za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya
Jan 16, 2019 01:13Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Uturuki amesema kuwa, kushindwa Saudi Arabia kuidhibiti Yemen katika vita vyake dhidi ya nchi hiyo, kumebatilisha ndoto za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya.
-
Wayemen wafanya shambulizi jingine la ndege isiyo na rubani kusini mwa Saudia
Jan 15, 2019 04:39Kikosi cha mizinga cha jeshi la Yemen kwa kushirikiana na Harakati ya Wananchi ya Answarullah, kimefanya shambulizi katika mji wa Najran, kusini mwa Saudi Arabia.
-
Washington Post: Mohammad bin Salman amezidisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani
Jan 11, 2019 13:05Gazeti la Washington Post la Marekani limeanika kwamba Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na mtuhumiwa nambari moja wa mauaji dhidi ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa Saudia, anaendelea kufanya ukandamizaji dhidi ya wapinzani wake nchini humo.
-
Makundi yanayoungwa mkono na Saudia yakasirishwa na nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano tena na Syria
Jan 07, 2019 04:17Makundi ya wanamgambo nchini Syria yanayoungwa na mkono na Saudi Arabia yamekasirishwa na hatua ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha tena uhusiano wao na serikali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar al-Assad.
-
Guardian: Saudia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani
Jan 05, 2019 23:06Gazeti la Uingereza la The Guardian limeripoti kuwa Saudi Arabia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani.
-
Wanawake wafungwa wa kisiasa Saudi Arabia wakabiliwa na mateso makali
Jan 04, 2019 23:11Wafungwa wa kisiasa waliopo jela nchini Saudi Arabia wanakabiliwa na mateso makali zaidi wanayofanyiwa kwa kutumia njia mbalimbali.
-
Wimbi jipya la mabadiliko katika serikali ya Saudia na kuzidi kuwa tete anga ya kisiasa ya nchi hiyo
Dec 28, 2018 21:36Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia, siku ya Alkhamisi alitoa amri ya dharura ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.
-
Saudia yatishia kuwaadhibu raia wake waliokwenda Russia na kukataa kurudi nyumbani
Dec 28, 2018 03:31Ubalozi wa Saudia mjini Moscow umetishia kuwa, Riyadh itawaadhibu vikali raia wa nchi hiyo waliokwenda kwenye mashindano ya fainali za kombe la dunia la mpira wa miguu nchini Russia na hadi hivi sasa wanang'ang'ania kubakia huko huko hawataki kurudi nchini Saudi Arabia.