-
Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden
Dec 18, 2018 07:57Baada ya kupita siku tano tangu kufikiwa makubaliano baina ya makundi ya Yemen, Saudi Arabia imeendelea kukiuka makubaliano hayo.
-
Erdogan: Muuaji wa Khashoggi alisikika akisema 'Najua Namna ya Kukata'
Dec 15, 2018 11:07Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amefichua kuwa katika sehemu ya faili la sauti kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, mmoja kati ya wauaji wa mpinzani huyo wa utawala wa Saudia alisikika akijigamba kuwa, 'Najua namna ya kukata.'
-
Saudia imekiuka mapatano ya Hudaydah, Yemen mara 21 masaa 24 yaliyopita
Dec 15, 2018 11:00Saudi Arabia imekiuka mapatano ya amani ya Yemen kwa kutuma ndege zake za kivita kushambulia eneo la Hudaydah mara 21 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Malengo ya Saudi Arabia ya kuanzisha mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu
Dec 14, 2018 03:01Serikali ya ukoo wa Aal Saud ya nchini Saudi Arabia imetangaza habari ya kuanzishwa mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu.
-
Seneta Graham: Marekani ndiyo inayoulinda utawala wa Saudi Arabia
Dec 10, 2018 23:07Seneta mashuhuri wa chama cha Republican nchini Marekani amezungumzia udhaifu wa jeshi la Saudi Arabia na kusema kuwa: Marekani ndiyo inayolinda utawala wa kifalme wa nchi hiyo.
-
New York Times lafichua: Mkwe wa Trump angali ana uhusiano na mawasiliano na Bin Salman
Dec 09, 2018 11:35Gazeti la The New York Times linalochapishwa nchini Marekani limetoa ripoti ambayo imefichua kuwa, mkwe na mshauri wa rais wa Marekani angali ana uhusiano na mawasiliano na mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, hata baada ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.
-
HRW: Wasimamizi wa kimataifa wakague jela za Saudia, wanawake wanabakwa
Dec 08, 2018 06:12Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetoa wito wa kupelekwa wakaguzi huru wa kimataifa nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa wanaharakati wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo hususan wanawake ambao baadhi ya ripoti zinasema wanateswa na hata kubakwa.
-
Wito wa kufukuzwa balozi wa Saudi Arabia nchini Indonesia
Dec 05, 2018 23:13Baraza la Maulamaa la Indonesia limetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Saudi Arabia nchini humo haraka iwezekanavyo.
-
Israel ilitoa msaada wa kijasusi kwa Saudia katika mauaji ya Khashoggi
Dec 03, 2018 03:19Imebainika kuwa shirika moja la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel lilitoa msaada mkubwa kwa ufalme Saudi Arabia ili kufanikisha mauaji ya mwandishi habari Jamal Khashoggi ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa ufalme huo wa kiimla.
-
Argentina yaanza kufuatilia mashtaka ya Shirika la Haki za Binaadamu (Human Rights Watch) dhidi ya Bin Salman
Nov 29, 2018 09:49Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Argentina ameanza kufuatilia mashtaka ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch dhidi ya Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia kutokana na vitendo vyake vinavyokiuka haki za binaadamu.