Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Sudan inapanga kujitoa kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen

    Sudan inapanga kujitoa kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen

    Nov 28, 2018 13:06

    Duru za kidiplomasia zimeripoti kuwa, umejitokeza mvutano kati ya Saudi Arabia na Sudan kutokana na kubadilika misimamo ya pande mbili juu ya suala la kuendelezwa hujuma na mashambulio ya kijeshi dhidi ya Yemen.

  • Maelfu ya Wapakistan wanashikiliwa katika jela za Saudia na Imarati

    Maelfu ya Wapakistan wanashikiliwa katika jela za Saudia na Imarati

    Nov 28, 2018 12:34

    Waziri wa zamani wa Masuala ya Ustawi wa Kieneo katika jimbo la Khyber Pakhtunkhwa nchini Pakistan amefichua kwamba, jumla ya raia 3,309 wa nchi hiyo wanashikiliwa katika jela za Saudi Arabia.

  • Jumatano tarehe 28 Novemba, 2018

    Jumatano tarehe 28 Novemba, 2018

    Nov 27, 2018 21:43

    Leo ni Jumatano tarehe 20 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na Novemba 28 mwaka 2018.

  • Serikali ya Algeria yalaani mauaji ya Khashoggi, upinzani dhidi ya safari ya bin Salman waongezeka

    Serikali ya Algeria yalaani mauaji ya Khashoggi, upinzani dhidi ya safari ya bin Salman waongezeka

    Nov 26, 2018 12:13

    Huku kukiwa na habari ya uwezekano wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kutembelea Algeria na kuongezeka upinzani wa wananchi wa nchi hiyo dhidi ya ziara hiyo, serikali ya Algiers imelaani rasmi mauaji ya Jamal Ahmad Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.

  • Bin Salman baina ya wahka wa ndani na malalamiko ya kimataifa

    Bin Salman baina ya wahka wa ndani na malalamiko ya kimataifa

    Nov 26, 2018 01:00

    Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia Muhammad bin Salman yuko katika safari ya kuzitembelea nchi 6 za Kiarabu na inatazamiwa kuwa, baada ya safari hiyo ataelekea Argentina kushiki mkutano wa G20. Hata hivyo Bin Salman amepatwa na wahka na wasiwasi mkubwa kutokana na uwezekano wa kutokea mapinduzi ndani ya kizazi cha Aal Saud na malalamiko yanayozidi nje ya nchi hiyo.

  • Mujtahid: Kuna uwezekano wa kutokea jambo lisilotarajiwa ndani ya kasri la kifalme nchini Saudi Arabia

    Mujtahid: Kuna uwezekano wa kutokea jambo lisilotarajiwa ndani ya kasri la kifalme nchini Saudi Arabia

    Nov 24, 2018 11:33

    Mwanaharakati maarufu wa mitandao ya kijamii nchini Saudia, Mujtahid amefichua habari ya kuwepo hali isiyo ya kawaida ndani ya kasri la kifalme nchini humo na kwamba kile kinachoendelea hivi sasa ndani ya kasri hilo kinaashiria wasi wasi mkubwa.

  • Mwanahakari ataka kufanywa uchunguzi maalumu katika jela za Saudia

    Mwanahakari ataka kufanywa uchunguzi maalumu katika jela za Saudia

    Nov 23, 2018 11:20

    Kiongozi wa masuala ya Saudi Arabia katika shirika la haki za binaadamu la Human Rights Watch ametaka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na hali ya wafungwa nchini humo.

  • Saudia yawazuia watoto wa wapinzani walioko korokoroni wasitoke nje ya nchi

    Saudia yawazuia watoto wa wapinzani walioko korokoroni wasitoke nje ya nchi

    Nov 21, 2018 23:16

    Mbali na viongozi wa Saudi Arabia kuwashikilia maelfu ya wapinzani na wanaharakati wa kisiasa nchini humo, inawazuia pia watoto wao wasitoke nje ya nchi.

  • Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia

    Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia

    Nov 20, 2018 00:19

    Abdullah Al Mualami Mwakilishi wa Saudi Arabia katika kikao cha hivi karibuni cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya haki za binadamu alitoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran.

  • Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi

    Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi

    Nov 19, 2018 12:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imezuia kuingia nchini humo kundi moja la raia wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS