Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia yawazuia watoto wa wapinzani walioko korokoroni wasitoke nje ya nchi

    Saudia yawazuia watoto wa wapinzani walioko korokoroni wasitoke nje ya nchi

    Nov 21, 2018 23:16

    Mbali na viongozi wa Saudi Arabia kuwashikilia maelfu ya wapinzani na wanaharakati wa kisiasa nchini humo, inawazuia pia watoto wao wasitoke nje ya nchi.

  • Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia

    Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia

    Nov 20, 2018 00:19

    Abdullah Al Mualami Mwakilishi wa Saudi Arabia katika kikao cha hivi karibuni cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya haki za binadamu alitoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran.

  • Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi

    Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi

    Nov 19, 2018 12:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imezuia kuingia nchini humo kundi moja la raia wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.

  • Umoja wa Ulaya waitaka Saudi Arabia iweke wazi kikamilifu kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Umoja wa Ulaya waitaka Saudi Arabia iweke wazi kikamilifu kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Nov 18, 2018 10:44

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameitaka Saudi Arabia kuweka wazi kikamilifu mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa Saudia.

  • Ujerumani: Maelezo ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi hayakinaishi

    Ujerumani: Maelezo ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi hayakinaishi

    Nov 16, 2018 21:41

    Serikali ya Ujerumani imetangaza kuwa, maelezo yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi hayatoshi.

  • Seneti ya Marekani yataka kutouziwa silaha Saudi Arabia

    Seneti ya Marekani yataka kutouziwa silaha Saudi Arabia

    Nov 16, 2018 11:16

    Kundi la Maseneta wa Marekani limewasilisha muswada unaotaka kupigwa marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa Saudi Arabia.

  • Marekani yajitoa kimasomaso kwa kuwawekea vikwazo watu waliohusika kumuua Khashoggi

    Marekani yajitoa kimasomaso kwa kuwawekea vikwazo watu waliohusika kumuua Khashoggi

    Nov 16, 2018 04:11

    Wizara ya Hazina ya Marekani na katika hatua yake iliyochelewa, imewawekea vikwazo raia kadhaa wa Saudi Arabia kutokana na mauaji dhidi ya Jamal Khashoggi, mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.

  • IRGC: Radiamali ya Iran kwa bwabwaja za Saudia ni ya kimyakimya lakini inayoumiza

    IRGC: Radiamali ya Iran kwa bwabwaja za Saudia ni ya kimyakimya lakini inayoumiza

    Nov 15, 2018 11:57

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema bwabwaja na matamshi hewa yanayotolewa na utawala wa Aal-Saud dhidi ya Iran hayataishia hivi hivi bila kupata jibu, na kwamba radiamali ya Jamhuri ya Kiislamu kwa vitendo hivyo vya kiuhasama ni ya kimyakimya na ambayo sio ya kimaonesho, lakini inayoumiza.

  • Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Nov 13, 2018 05:53

    Kuna ripoti zinazosema kuwa wanawake na wasichana 4,500 raia wa Burundi wamepelekwa Saudi Arabia na Oman tangu mwaka 2015 katika kile kinachodaiwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni biashara ya binadamu. Serikali ya Burundi imeitisha mkutano maalumu kujadili suala hilo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Nov 11, 2018 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wataushinda ubabe na utumiaji mabavu kutoka upande wowote ule, na historia ni ushahidi wa wazi wa utamaduni na mwenendo huu wa Wairani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS