-
Pasipoti za utawala wa Kizayuni kutumiwa katika safari ya kuendea Saudi Arabia
Nov 09, 2018 11:04Mtandao mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni umeandika kwamba, hivi karibuni Wazayuni watatumia pasipoti za utawala wa Israel katika safari zao nchini Saudi Arabia.
-
WFP: Mamilioni ya Wayemen watakufa njaa vita vikiendelea
Nov 09, 2018 04:24Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani, WFP, limetahadharisha kuwa iwapo vita havitamalizika Yemen, mamilioni ya Wayemen watakufa njaa.
-
"Saudia ilitumia programu ya udukuzi ya Israel kumfuatilia Kashoggi"
Nov 08, 2018 11:49Edward Snowden, afisa wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amefichua nafasi ya utawala haramu wa Israel katika mauaji ya kikatili ya mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi yaliyofanywa na Riyadh nchini Uturuki mwezi uliopita.
-
Paris: Upo uwezekano wa kuiwekea vikwazo Saudi Arabia
Oct 31, 2018 21:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa upo uwezekano Saudia ikawekewa vikwazo iwapo itakuwa imehusika katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa ukoo wa Aal Saud, Jamal Khashoggi.
-
Dick Black: Uhusiano wa Marekani na Saudia unaainishwa na fedha
Oct 30, 2018 22:56Richard Hayden Black, Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani amesema kuwa, uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia hautegemei misingi ya matukufu ya kimaadili, bali unategemea maslahi ya kiuchumi.
-
L'Express: Vyombo vya ujasusi Uingereza vilijua mapema azma mbaya ya Wasaudi dhidi ya Khashoggi
Oct 29, 2018 10:34Gazeti la kila wili la Kifaransa la L'Express limefichua kuwa, vyombo vya intelijensia vya Uingereza vilikuwa na taarifa kwamba, mmoja wa wanawafalme wa Saudia ametoa amri ya kutekwa na hata kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.
-
"Uingereza ni mshiriki wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen"
Oct 29, 2018 01:08Mbunge mmoja mwandamizi wa Uingereza amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ni mshiriki wa jinai za Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
HRW: Saudia imruhusu mtoto wa Khashoggi kuondoka nchini humo
Oct 24, 2018 23:04Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, serikali ya Saudi Arabia inapaswa kumruhusu mwana wa kiume wa mwandishi na mkosoaji wa nchi hiyo aliyeuawa ndani ya ubalozi wa Saudia mjini Istanbul huko Uturuki, Jamal Khashoggi kuondoka nchini humo.
-
Rais wa Marekani akiri kwamba, Bin Salman alihusika katika mauaji ya Khashoggi
Oct 24, 2018 04:30Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kwamba, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia alihusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal Saud.
-
OCHA: Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa
Oct 24, 2018 04:22Ofisi ya Uratibu ya Umoja wa Mataifa Inayoshughulikia Masuala ya Kibinaadamu (OCHA) imetangaza kuwa, nchi ya Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa.