-
Khoshrou: Matamshi ya Muhammad bin Salman, ni kitisho dhidi ya Iran na kukiri Saudia kuwa inahusika na ugaidi
May 05, 2017 00:08Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, amesema kuwa matamshi ya hivi karibuni ya Kaimu Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa utawala wa kifalme wa Saudia, ni tishio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na ni kukiri kuwepo ushirikiano wa utawala wa Saudia na vitendo vya ukatili na ugaidi ndani ya Iran.
-
Saudia yaendeleza uhasama dhidi ya Iran, Muhammad Bin Salman adhihirisha chuki yake
May 03, 2017 00:07Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa utawala wa kifalme nchini Saudia, amebainisha chuki yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kusema wazi kwamba, Saudia haitakuwa na mahusiano mazuri na Tehran.
-
Saudia imetumia fedha nyingi kuiziba mdomo jamii ya kimataifa isizungumzie jinai inazofanya Yemen
Apr 27, 2017 11:28Mkuu wa Taasisi iitwayo "Haki za Binaadamu kwa ajili ya Yemen" amesema kuwa, Saudi Arabia imetumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kuinyamazisha jamii ya kimataifa isizungumzie jinai zake inazozitenda nchini Yemen na pia kuhusu hali mbaya ya kibinaadamu inayoshuhudiwa hivi sasa nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa: Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani
Apr 26, 2017 03:27Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa indhari kuhusu hali mbaya ya maafa inayowakabili watoto nchini Yemen kutokana na mashambulio ya kijeshi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Vikosi vya Yemen vyateketeza maghala ya silaha ya majeshi vamizi ya Saudia, Jizan
Apr 26, 2017 03:19Vikosi vya pamoja vya Yemen vimeteketeza maghala ya silaha ya jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa Jizan kusini mwa nchi hiyo.
-
Juhudi za Saudia za kuishawishi Misri ijiunge na siasa zake
Apr 25, 2017 01:50Mfalme Salaman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia na Rais Abdul Fattah al Sisi wamekuatana na kufanya mazungumzo ambayo yamehusu suala la kuboresha uhusiano wa pande mbili na matukio ya kikanda na kimataifa.
-
Utumiaji wa mabomu yanayoongozwa kutoka mbali dhidi ya watu wa Yemen, matunda ya safari ya Mattis huko Saudia
Apr 21, 2017 23:12Baada ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis mjini Riyadh, imetangazwa kuwa Washington inachunguza suala la kuiuzia Saudi Arabia mabomu yanayoongozwa kutokea mbali katika mwaka wa tatu wa vita vya nchi hiyo dhidi ya Yemen.
-
Mwanazuoni wa Kishia apandishwa kizimbani Saudia baada ya kuwekwa mahabusu kwa zaidi ya mwaka mmoja
Apr 16, 2017 11:28Duru za kuaminika za Saudi Arabia zimetangaza kuwa mwanazuoni mmoja wa madhehebu ya Shia atapandishwa kizimbani baada ya kuwekwa mahabusu kwa muda wa miezi 13.
-
Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya US na Saudia dhidi ya Syria na Yemen
Apr 12, 2017 09:34Maelfu ya Wapakistan wameandamana mbele ya kituo cha waandishi wa habari mjini Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo katika kulaani ushirikiano wa Marekani na Saudia wa kufanya mashambulizi nchini Syria na Yemen na kuyataja mashambulizi hayo kuwa ni jinai ya kivita.
-
Jeshi la Yemen na Answarullah laitia hasara kubwa Saudia mkoa wa Jizan
Apr 12, 2017 09:30Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah limejibu mashambulizi ya Saudia katika mkoa wa Saada kaskazini mwa nchi, kwa kulenga kambi ya jeshi la nchi hiyo vamizi katika mkoa wa Jizan, kusini mwa Saudia.