Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Mwisho wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 31 pamoja na sauti

    Mwisho wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 31 pamoja na sauti

    Apr 08, 2017 10:05

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 31 ya mwisho kabisa wa makala haya yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 30 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 30 pamoja na sauti

    Apr 08, 2017 09:55

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 30 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na Suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 29 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 29 pamoja na sauti

    Apr 08, 2017 09:38

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 29 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 28 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 28 pamoja na sauti

    Apr 08, 2017 09:19

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine hii ikiwa ni sehemu ya 28 ya mfululizo huo.

  • Iran yatoa jibu kwa uropokaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    Iran yatoa jibu kwa uropokaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    Apr 05, 2017 22:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema uuzaji silaha kwa wavamizi kwa ajili ya kuulia watu wasio na hatia katika eneo hili na hasa katika uvamizi usio na mlingano na ulio dhidi ya ubinadamu uliofanywa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen hauwiyani na madai yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Uingereza.

  • Marubani wa ndege za kivita za Saudia zinazoua Wayemeni waongezewa mishahara

    Marubani wa ndege za kivita za Saudia zinazoua Wayemeni waongezewa mishahara

    Apr 04, 2017 23:39

    Sambamba na kushadidi mashambulio ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya maeneo mbalimbali ya Yemen, Baraza la Mawaziri la utawala wa Aal Saud limetangaza kuwa limeongeza mishahara ya marubani wa jeshi la anga la nchi hiyo.

  • Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Apr 03, 2017 00:08

    Mahakama moja ya Misri imetengua uamuzi uliotolewa miezi kadhaa iliyopita na mahakama nyingine ya nchi hiyo ikipinga kutolewa visiwa viwili vya nchi hiyo kwa utawala wa Saudi Arabia

  • Watetezi wa haki za binadamu: Saudia inazusha machafuko na hitilafu Mashariki ya Kati

    Watetezi wa haki za binadamu: Saudia inazusha machafuko na hitilafu Mashariki ya Kati

    Apr 02, 2017 11:34

    Jumuiya na watetezi wa haki za binadamu wamesema kuwa Saudi Arabia ndiyo sababu kuu ya machafuko na ghasia zinazoshuhudiwa kwa sasa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Chama cha Sinn Féin  chataka Uingereza isiiuzie Saudia silaha

    Chama cha Sinn Féin chataka Uingereza isiiuzie Saudia silaha

    Apr 01, 2017 23:50

    Chama cha Sinn Féin cha Ireland Kaskazini nchini Uingereza kimetoa taarifa kikitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mara moja uuzaji silaha kwa utawala wa Saudi Arabia.

  • Kamanda wa jeshi la Saudia apigwa mayai Uingereza

    Kamanda wa jeshi la Saudia apigwa mayai Uingereza

    Mar 31, 2017 02:55

    Ahmed al-Asiri, mshauri wa Wizara ya Ulinzi ya Saudia na msemaji wa muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen, ameshambuliwa na waandamanaji wanaopinga hujuma za utawala wa Aal-Saud nchini Yemen na kupigwa mayai mabovu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS