-
Sayyid Hassan Nasrullah asema utawala wa Israel wa 'Kinazi' hautadumu katika eneo
May 29, 2024 06:43Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
-
Hassan Nasrullah: Kimbunga cha al-Aqsa kimemsukuma adui Mzayuni kwenye ukingo wa shimo la mauti
Apr 04, 2024 06:52Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu ni tofauti na miaka iliyopita, na kwamba operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imemweka adui Mzayuni kwenye ukingo wa shimo la mauti.
-
Sayyid Nasrullah: Jeshi la Israel limechoka, litashindwa na muqawama
Mar 14, 2024 03:23Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linaloendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi wa Ukanda wa Gaza limechoka, na hakuna shaka kwamba litashindwa na kambi ya muqawama hata likiamua kuuvamia mji wa Rafah.
-
Nasrullah: Chimbuko la nguvu za muqawama ni Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 14, 2024 07:34Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongeza na kulishukuru Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 06, 2024 08:13Wazayuni wanakiri kwamba, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah, ni kiongozi shupavu na mwenye nguvu zaidi katika Ulimwengu wa Kiarabu na Magharibi mwa Asia.
-
Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 02, 2024 16:45Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.
-
Sayyid Nasrullah: Machaguo yote dhidi ya Israel yapo mezani
Nov 03, 2023 15:39Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema machaguo yote dhidi ya utawala haramu wa Israel yapo mezani, huku akiuasa utawala huo wa Kizayuni usitishe mara moja uvamizi na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian na Nasrullah wazungumzia matukio ya karibuni kuhusu vita vya Gaza
Oct 14, 2023 03:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah Sayyed katika ziara yake nchini Lebanon.
-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 06:40Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Nasrullah: Tutairejesha Israel 'enzi za jiwe' ikiingia vitani na Lebanon
Aug 15, 2023 07:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameionya vikali Israel na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni utarejeshwa nyuma mamilioni ya miaka hadi enzi za jiwe, iwapo utaingia katika vita vipya na Lebanon.