Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo

    Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo

    Aug 04, 2023 07:56

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.

  • Utulivu tete katika kambi ya Ain Al-Hilweh kufuatia matamshi ya Sayyid Hassan Nasrullah

    Utulivu tete katika kambi ya Ain Al-Hilweh kufuatia matamshi ya Sayyid Hassan Nasrullah

    Aug 03, 2023 11:08

     Utulivu wa kiwango fulani umerejea katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya   Ain Al-Hilweh nchini Lebanon kufuatia matamshi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrallah, ya kusisitizia ulazima wa kusitishwa mapigano katika kambi hiyo.

  • Jenerali wa Israel akiri; Nasrullah si mtu wa kupuuzwa

    Jenerali wa Israel akiri; Nasrullah si mtu wa kupuuzwa

    Aug 02, 2023 02:19

    Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Operesheni cha jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ni shakhsia ambaye hapaswi kupuuzwa.

  • Nasrullah: Wimbi la Muqawama katika eneo lingali liko hai

    Nasrullah: Wimbi la Muqawama katika eneo lingali liko hai

    Jul 28, 2023 08:06

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba aliyotoa usiku wa Ashura ya Imamu Hussein mjini Beirut kuwa: Tajiriba ya Muqawama nchini Lebanon imeonyesha kuwa wimbi la muqawama katika eneo lingali liko hai.

  • Haaretz: Nasrullah alikuwa sahihi, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui

    Haaretz: Nasrullah alikuwa sahihi, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui

    Jul 27, 2023 02:29

    Gazeti la Haaretz limezungumzia hali mbaya ya kisiasa na kiuchumi inayotawala huko Israel, kukiri kwamba, mtazamo wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika kuufananishwa utawala wa Israel na nyumba ya buibui ilikuwa sahihi kabisa.

  • Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika kumbukumbu ya vita vya siku 33

    Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika kumbukumbu ya vita vya siku 33

    Jul 15, 2023 07:30

    Hotuba iliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika maadhimisho ya mwaka wa 17 tangu baada ya ushindi wa harakati hiyo dhidi ya jeshi la Israel katika vita vya siku 33 vya 2006, kama kawaida, imegusa pande zote na kutoa majibu kwa masuala muhimu zaidi yanayoshughulisha fikra za watu kwa sasa.

  • Uchambuzi kuhusu mlingano wa muqawama/utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2000 hadi sasa

    Uchambuzi kuhusu mlingano wa muqawama/utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2000 hadi sasa

    May 28, 2023 01:17

    Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Alhamisi usiku alitoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya maadhimisho ya kukombolewa Lebanon inayojulikana kama "Idi ya Muqawama na Ukombozi" na kubainisha mabadiliko yaliyojiri katika mlingano wa muqawama na utawala wa Kizayuni.

  • Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza

    Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza

    May 15, 2023 01:39

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mahesabu yasiyo sahihi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ndio sababu halisi ya kuibuka vita hivi.

  • Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Apr 27, 2023 05:37

    Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, maonyo yanayotolewa na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ndiyo sababu kuu inayozuia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Maafisa wa Iran, Lebanon wazungumzia matukio ya kieneo mjini Beirut

    Maafisa wa Iran, Lebanon wazungumzia matukio ya kieneo mjini Beirut

    Mar 24, 2023 07:51

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran, Kamal Kharrazi amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah mjini Beirut, ambapo wamejadili matukio ya hivi sasa ya kisiasa na kiusalama katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS