-
Nasrullah: Matukio ya sasa yanaashiria hakika ya kusambaratika Israel
Mar 07, 2023 07:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio na maendeleo yanayoshuhudiwa hivi sasa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni ishara tosha kuwa suala la kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni hakika ambayo itafanyika katika mustakabali wa karibu.
-
Ufafanuzi wa malengo ya maadui wa Muqawama katika hotuba ya Sayyid Nasrullah
Feb 18, 2023 10:51Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon juzi Februari 16, alieleza malengo ya maadui katika hotuba yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya makamanda wa harakati ya Muqawama waliouawa shahidi, Sheikh Ragheb Harb, Sayyid Abbas Mousawi na Haj Emad Mughniyeh.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Jan 14, 2023 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na kuzungumza na Sayyid Hassan Nasrallah" Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Nasrullah: Iran ni thabiti, haitatikiswa na matukio ya sasa
Oct 02, 2022 03:10Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina nguvu na uthabiti kuliko wakati wowote ule, na kwamba taifa hili litavuka salama mtihani wa sasa kutokana na hekima ya viongozi wake.
-
Sisitizo la Nasrullah juu ya ulazima wa kuendelezwa Muqawama wa kukabiliana na adui Mzayuni
Sep 19, 2022 09:23Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Muqawama ndio njia pekee ya kukabiliana na adui mzayuni. Nasrullah ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa siku ya Jumamosi kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Msemaji wa Ansarullah aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon
Sep 17, 2022 01:23Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo ya serikali ya wokovu wa kitaifa ya nchi hiyo, ameonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kujadiliana naye masuala ya karibuni kabisa ya kisiasa ya eneo hili.
-
Sayyid Nasrullah: Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama
Aug 10, 2022 01:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama wa Kiislamu duniani.
-
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Aug 08, 2022 07:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.
-
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah
Jul 27, 2022 12:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, juzi usiku (tarehe 25 Julai) alizungumza na televisheni ya al-Mayadeen kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa kuasisiwa Hizbullah, ambapo nukta kadhaa za kistratijia zilijadiliwa.
-
Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah
Jul 26, 2022 07:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini.