-
Nasrullah: Ikiwa Lebanon haitapata haki yake, utawala wa Kizayuni hautaruhusiwa kuchimba mafuta
Jul 20, 2022 07:51Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Lebanon haitaki vita, lakini iwapo haitapata inachostahiki, utawala wa Kizayuni hautaruhusiwa kuchimba mafuta.
-
Nasrullah: Moja ya matunda ya Muqawama yalikuwa ni kusambaratisha mpango wa Mashariki ya Kati Mpya
Jul 14, 2022 03:17Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, mojawapo ya matunda muhimu zaidi ya mhimili wa Muqawama yalikuwa ni kuuzima mpango wa Marekani wa kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya.
-
Kiongozi wa HAMAS aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah Beirut
Jun 23, 2022 12:28Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 10:14Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.
-
Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi
May 26, 2022 04:02Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi.
-
Ukosoaji wa Sayyid Nasrullah kwa wanaoziandama silaha za muqawama badala ya matatizo ya uchumi, katika kampeni za uchaguzi wa Lebanon
May 11, 2022 10:42Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah, amesema kuhusu matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na vituo kadhaa vya utafiti kwamba dukuduku la akthari ya watu wa Lebanon si silaha za Muqawama bali ni hali zao za maisha.
-
Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha
May 10, 2022 04:33Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah ameashiria uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni na kusema tatizo la waliowengi nchini Lebanon si silaha za Hizbullah au Muqawama bali ni hali ya maisha.
-
Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel
Apr 30, 2022 03:05Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la Israeli, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.
-
Nasrullah: Watu wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao dhidi ya Wazayuni
Apr 12, 2022 03:28Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao ya ukombozi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine
Mar 19, 2022 12:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.