-
Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi
Mar 11, 2022 02:29Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuporomoka kimaadili Wamagharibi.
-
Nasrullah: Hizbullah ina uwezo wa kuunda ndege zisizo na rubani
Feb 17, 2022 03:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema harakati hiyo sasa inajiundia ndege zisizo na rubani au drone na makombora yenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa.
-
Nasrullah: Iran ni nguvu kubwa kieneo na yenye taathira kubwa duniani
Feb 09, 2022 06:56Katibu Mkuu wa Chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon ameashiria furaha kubwa waliyokuwanayo wananchi wa Iran wakati wa kurejea nchini Imam Khomeini (MA) kutoka uhamishoni na kusema hiyo ni moja ya nukta za kuvutia zaidi katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanayojulikana kama Alfajiri Kumi.
-
Nasrullah: Kupuuza uwepo wa US nchini Iraq, ni sawa na kumuua tena shahidi Soleimani
Jan 04, 2022 07:56Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha kupuuza uwepo wa vikosi vamizi vya Marekani nchini Iraq, ni sawa na kuuawa shahidi kwa mara ya pili Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 uliiletea Lebanon uhuru wa kujitawala
Nov 27, 2021 12:32Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameashiria kukombolewa katika mwaka 2000 maeneo ya ardhi ya nchi hiyo yaliyokuwa yakikaliwa kwa mabavu na akasema: "ushindi huo umeiletea nchi yetu uhuru wa kujitawala na kuipa uthabiti haki yake ya mamlaka ya utawala."
-
Hotuba ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi
Nov 13, 2021 02:23Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amehutubia kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi na kuzungumzia masuala mbalimbali kama kadhia ya Syria, mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na sera za Saudi ArabiA dhidi ya Lebanon.
-
Sayyid Nasrullah: Nchi za Kiarabu zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi
Nov 12, 2021 07:52Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa nchi za Kiarabu hatimaye zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi.
-
Malengo na ujumbe wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 20, 2021 11:38Hotuba iliyotolewa juzi na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu matukio yaliyojiri Alkhamisi iliyopita katika eneo la al Tayune mjini Beirut imetambuliwa kuwa tofauti sana na hotuba zake za miaka ya karibuni.
-
Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon
Aug 24, 2021 02:42Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah Jumapili ya juzi tarehe 22 Agosti alitoa hotuba akizungumzia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa, Marekani imekuwa na nafasi kubwa katika kuchochea mgogoro wa sasa wa Lebanon.
-
Sayyid Nasrullah: Tunajivunia kuwa na uadui na Marekani na utawala haramu wa Israel
Aug 23, 2021 07:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, kambi ya muqawama inajivunia na uadu na ubeberu wa Marekani, uadui wa utawala haramu wa Israel na mipango ya utawala huo ghasibu dhidi ya harakati hii.