-
Rais Ruto wa Kenya awarejesha mawaziri 6 wa zamani kati ya wateule 11, wengine kufuatia
Jul 19, 2024 15:03Rais William Ruto wa Kenya amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliowateua kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri.
-
Waalgeria wahimizwa kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo
Oct 24, 2020 04:21Wananchi wa Algeria wamehimizwa kuipigia kura ya ndio katiba mpya katika zoezi la kura ya maoni lililopangwa kufanyika Novemba Mosi mwaka huu. Serikali imeitaja kura hiyo ya maoni kuwa msingi wa nchi mpya.
-
Misri yapongeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini
Feb 24, 2020 11:49Serikali ya Misri imepngeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini na kusema kuwa ina matumaini hatua hiyo itatoa fursa ya kushuhudiwa utulivu na usalama wa kudumu nchini humo.
-
Harakati ya Uhuru na Mabadiliko Sudan yawasilisha orodha ya wagombe wa nafasi za uwaziri
Aug 27, 2019 13:26Harakati ya Uhuru na Mabadiliko nchini Sudan imewasilisha orodha ya majina ya wagombea wake wa nafasi za uwaziri katika serikali ya mpito ya nchi hiyo.