-
Jumamosi, 11 Februari, 2023
Feb 11, 2023 02:34Leo ni Jumamosi tarehe 20 ya mwezi Rajab 1444 Hijria sawa na tarehe 11 Februari 2023 Miladia.
-
Jumatano tarehe 10 Februari 2021
Feb 10, 2021 02:32Leo ni Jumatano tarehe 26 Jamadithani 1442 Hijria sawa na tarehe 10 Februari mwaka 2021.
-
Kiongozi Muadhamu alishukuru taifa kwa kujitokeza kwa hamasa katika maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2018 08:09Maandamano ya kitaifa ya watu wa Iran kwa munasaba wa maadhimisho ya kukamilika mwaka wa 39 tokea yapate ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa ni ushiriki wa kihamasa uliokuwa na ujumbe maalum kwa dunia nzima.
-
Kiongozi Muadhamu awapongeza Wairani kwa ushiriki mkubwa katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2018 05:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili usiku ametoa ujumbe na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Yawmullah 22 Bahman (11 Februari) ambayo ni siku ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Raia wa Iran wajitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2018 07:58Raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki kwa mamilioni katika sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kilele cha sherehe hizo kilichofikiwa leo.
-
Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 10:55Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara wa Imam Ruhullah Khomeini; mapinduzi ambayo yalihitimisha utawala dhalimu na kibarala wa mfalme Shah. 11/02/2018
-
Khatibu: Marekani imekuwa ikipata vipigo kutoka Iran kwa miaka mingi
Feb 09, 2018 14:15Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran ameashiria njama za Marekani kwa lengo la kuipa pigo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, Marekani na waitifaki wake katika miaka ya nyuma wamepata vipigo vingi kutoka Iran.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran limetoa majibu ya busara kwa njama za madola ya kibeberu
Feb 07, 2018 15:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama zote ambazo hadi sasa zimepangwa na kutekelezwa dhidi ya taifa la Iran zimegonga mwamba na kutofua dafu.