-
Ushindi wa Trump wawafanya raia wa Marekani kuandamana kuwaunga mkono Waislamu
Nov 12, 2016 11:01Raia wa jimbo la Texas nchini Marekani wamefanya maandamano kutangaza uungaji wao mkono kwa jamii ya Waislamu wa nchi hiyo kufuatia ushindi wa Donald Trump, rais mteule.
-
9 wafariki dunia katika mkanyagano wakisherehekea Iddi, Ghana
Jul 07, 2016 10:03Watu tisa wamepoteza maisha katika mkanyagano wakati wa sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Idul-Fitr jana usiku nchini Ghana.