-
Zarif: Madola pekee yenye mabomu ya nyuklia Mashariki ya Kati ni Marekani na Israel
Aug 29, 2018 15:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwa mnasaba wa "Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Majaribio ya Silaha za Nyuklia" kwamba, licha ya kuwa dunia hivi sasa inaadhibimisha siku ya kimataifa ya kupambana na majaribio ya silaha za nyuklia, lakini madola pekee yenye mabomu ya atomiki katika eneo letu hili (Mashariki ya Kati) ni Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Foreign Policy: Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia
Mar 06, 2018 02:27Jarida la Foreign Policy la Marekani limeripoti kuwa, Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia ikishirikiana na Marekani.
-
Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu
Nov 15, 2017 04:43Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, ni suala lisilowezekana kuachana na uwezo wa silaha zake za nyuklia uliopatikana kwa tabu, kwa sababu tu ya mashinikizo na vikwazo dhidi yake.
-
Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake
Oct 09, 2017 15:00Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya kuvuka mabara.
-
Trump: Marekani inapaswa kuwa mbele katika uwanja wa silaha za nyuklia
Feb 24, 2017 04:51Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayogongana akitoa wito wa kuzuiwa uenezaji wa silaha za nyuklia na wakati huo huo akisisitiza kuwa, Washington daima inapaswa kuwa na maghala makubwa zaidi ya silaha za nyuklia kuliko nchi nyingine zote duniani.