-
UN: Utapiamlo umeua watoto 200 nchini Somalia
Jul 06, 2022 01:46Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema kwa akali watoto 200 wamepoteza maisha nchini Somalia kutokana na utapiamlo.
-
Ripoti: Nusu ya watu wa Somalia wanahitaji msaada wa haraka wa chakula
Jul 04, 2022 06:28Maeneo ya kandokando ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yamekumbwa na wimbi kubwa la wakimbizi wanaolazimika kukimbia makazi yao kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame mkubwa huko kusini na magharibi mwa Somalia.
-
Ijumaa tarehe Mosi Julai 2022
Jun 30, 2022 20:31Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Dhulqaada 1443 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2022.
-
Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati
Jun 25, 2022 07:21Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Watu 200,000 wapo katika hatari ya kufa njaa nchini Somalia
Jun 07, 2022 03:32Taasisi za Umoja wa Mataifa zimesema karibu robo milioni ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na baa la njaa lililosababishwa na ukame na mfumko wa bei za bidhaa kote duniani.
-
Watoto laki 3 kufariki Somalia iwapo misaada haitawafikia haraka
Jun 01, 2022 05:51Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa watoto zaidi ya 370,000 watapoteza maisha ifikapo mwisho wa mwezi huu wa Juni iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa kuwafikishia misaada ya dharura.
-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 08:00Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
Marekani kutuma wanajeshi Somalia kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab
May 17, 2022 03:03Katika kuendeleza hatua zake za kijeshi na sera za uingliaji kati , Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa washington ina mpango wa kutuma tena wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia kwa lengo la kile alichokitaka kuwa kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida.
-
Wagombea 39 kuwania kiti cha urais nchini Somalia
May 11, 2022 21:51Wagombea wapatao 39 wamejitokeza kuwania kiti cha urais nchini Somalia uchaguzi ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa juma hili.
-
Shambulio la kundi la kigaidi la as-Shabaab dhidi ya askari wa kulinda amani nchini Somalia
May 05, 2022 01:00Jeshi la Burundi limetangaza kuwa askari wake 10 wa kulinda amani wanaohudumu nchini Somalia chini ya mwavuli wa Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la as-Shabaab katika kambi ya askari wa umoja huo.