-
Wakimbizi wa Kisomali wakabiliwa na hali ngumu katika mfungo wa Ramadhani
Apr 18, 2022 08:35Zaidi ya wakimbizi milioni moja wa Kisomali hususan wale wanaoishi katika kambi za nje ya mji mkuu, Mogadishu, wanakabiliwa na hali ngumu katika mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
AU kumtimua mkuu wa kikosi chake cha mpito nchini Somalia
Apr 17, 2022 03:37Mkuu wa kikosi kipya cha kijeshi cha mpito (ATMIS) kilichochukuwa nafasi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) yupo katika mashinikizo ya kutakiwa ajiuzulu baada ya kushtadi msuguano wa kidiplomasia kati yake na serikali ya Mogadishu.
-
UN: Watoto 350,000 wa Somalia katika hatari ya kufa njaa
Apr 14, 2022 23:30Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, watoto 350,000 wapo katika nchi ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa linaloisakama Somalia.
-
UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni
Apr 13, 2022 03:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.
-
UN: Somalia iko hatarini kukumbwa na njaa
Apr 09, 2022 07:46Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Somalia kwa sasa iko katika hatari ya kukumbwa na njaa kutokana na ukame, bei ya juu ya vyakula na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.
-
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug
Apr 04, 2022 06:53Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia yakaribisha kuundwa kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika
Apr 01, 2022 22:06Serikali ya Federali ya Somalia imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukipangua Kikosi cha Kijeshi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) na kuunda kikosi kipya cha amani cha mpito cha ATMIS.
-
Waliouawa katika hujuma pacha za mabomu Somalia wafika 48
Mar 24, 2022 22:00Watu 48 wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji wa Beledweyne katika eneo la Hiran, katikati ya Somalia. Watu wenine 108 wamejeruhiwa katika mahambulizi hayo pacha.
-
Ijumaa tarehe 25 Machi 2022
Mar 24, 2022 21:56Leo ni Ijumaa tarehe 22 Shaabani 1443 Hijria sawa na Machi 25 mwaka 2022.
-
Magaidi 2 wa al-Shabaab wauawa wakijaribu kushambulia uwanja wa ndege Somalia
Mar 23, 2022 23:00Wanachama wawili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa walipojaribu kushambulia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aden Adde katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.