-
Zaidi ya watu 800,000 wamekuwa wakimbizi kutokana na ukame huko Ethiopia na Somalia
Mar 10, 2022 00:41Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, ukame na uhaba wa chakula umewafanya watu zaidi ya 845,000 kuwa wakimbizi huko Ethiopia na Somalia.
-
Somalia yaakhirisha tena muhula wa kumalizika uchaguzi wa Bunge
Feb 25, 2022 23:08Kwa mara nyingine tena, Somalia imetangaza kusogeza mbele muhula wa mwisho uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kumalizika uchaguzi wa Bunge nchini humo.
-
IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itaakhirisha tena uchaguzi
Feb 22, 2022 23:07Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema huenda likasimamisha ushirikiano wake wa kifedha na serikali ya federali ya Somalia katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, iwapo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika itaakhirisha tena uchaguzi.
-
Watu 14 wauawa baada ya gaidi kujiripua kwa bomu Somalia
Feb 20, 2022 04:28Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha baada ya gaidi aliyekuwa amejifunga bomu kujiripua katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Somalia.
-
Magaidi 20 wa al-Shabaab waangamizwa na askari wa AMISOM, Somalia
Feb 17, 2022 23:39Wanachama zaidi ya 20 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM).
-
Al Shabaab washambulia vituo vya polisi na upekuzi Mogadishu
Feb 16, 2022 08:31Wanamgambo wa kundi la al Shabaab wa nchini Somalia mapema leo wameshambulia vituo vya polisi na vya upekuzi katika mji mkuu Mogadishu. Kundi hilo la kigaidi limefanya hujuma hiyo huku Somalia ikijiandaa kwa uchaguzi wa rais ulioakhirishwa mara kadhaa.
-
Mama na wanawe wawili wafa njaa nchini Somalia
Feb 13, 2022 23:41Mwanamke mmoja na watoto wake wawili wameaga dunia kutokana na makali ya njaa na kiu huko kusini magharibi mwa Somalia.
-
6 wauawa, 13 wajeruhiwa katika shambulio la bomu Somalia
Feb 10, 2022 23:00Watu wasiopungua sita wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika makutano ya barabara yenye shughuli nyingi ya El Gaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
UN: Ukame umeathiri watu milioni 4.3 nchini Somalia
Feb 08, 2022 04:12Umoja wa Mataifa umesema Somalia inaendelea kuandamwa na ukame ambao umeathiri watu zaidi ya milioni 4.3 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, kutoka watu milioni 3.2 iliyoripotiwa mwezi mmoja uliopita.
-
FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia
Feb 04, 2022 04:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.