-
Shirika la misaada: Kuendelea ukame kutasababisha vifo na watu kulazimika makwao Somalia
Jan 28, 2022 23:51Shirika la utoaji misaada ya kibinadamu la Norway Refugee Council (NRC) mjini Mogadishu nchini Somalia limeonya kuwa huenda watu kadhaa wakapoteza maisha huku wengine zaidi ya milioni 1 wakalazimika kuhama makwao kutokana na hali ya ukame kuendelea kuwa mbaya nchini humo.
-
Jeshi la Somalia lakomboa miji, vijiji 10 vilivyokuwa vimetwaliwa na al-Shabaab
Jan 26, 2022 08:46Jeshi la Taifa la Somalia limefanikiwa kukomboa miji na vijiji kadhaa vya nchi hiyo vilivyokuwa vimetekwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab.
-
Msemaji wa serikali ya Somalia anusurika kuuawa, ajeruhiwa katika mlipuko Mogadishu
Jan 16, 2022 23:10Msemaji wa serikali ya Somalia jana Jumapili alijeruhiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu katika shambulio la kigaidi la kujilipua kwa bomu.
-
Magaidi 17 wa kundi la al-Shabab waangamizwa na jeshi katikati mwa Somalia
Jan 08, 2022 03:40Wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabab la Somalia wameangamizwa na jeshi katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufuatia opesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji hao.
-
Umoja wa Afrika na Somalia kutathmini hatima ya AMISOM
Jan 01, 2022 04:26Somalia na Umoja wa Afrika (AU) zimekubaliana kutathmini operesheni za vikosi vya nchi wanachama wa umoja huo AMISOM, ambavyo muda wake uliongezwa mpaka mwezi Machi mwaka 2022.
-
AU yataka pande hasimu za kisiasa Somalia zifanye mazungumzo
Dec 31, 2021 23:31Umoja wa Afrika umetoa mwito kwa Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia na Waziri Mkuu wa nchi hiyo aliyesimamishwa kazi hivi karibuni, Mohamed Hussein Roble kufanya mazungumzo haraka iwezekanavyo, baada ya wawili hao kutofautiana vikali wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge.
-
Financial Times latahadharisha: Ash-Shabaab wanaweza kurudi tena madarakani Somalia
Dec 30, 2021 08:10Gazeti la Financial Times limetahadharisha kuwa, kundi la kigaidi la Ash-Shabaab linaweza likarudi upya kwenye medani na kuidhibiti tena Somalia.
-
Rais wa Somalia amfuta kazi Waziri Mkuu wake, mzozo wapamba moto.
Dec 27, 2021 03:33Rais wa Somalia amemfuta kazi Waziri Mkuu wake wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge na hivyo kuzusha mzozo mpya wa kisiasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
5 wauawa katika shambulio la bomu la al-Shabaab kusini mwa Somalia
Dec 05, 2021 23:47Watu wasiopungua watano wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mgahawa mmoja wenye shughuli nyingi kusini mwa Somalia.
-
Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia
Dec 01, 2021 00:13Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeshambulia uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi ya askari wa Ethiopia katika mji wa Baidoa, ulioko kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.