Apr 06, 2023 12:50
Mkuu wa Baraza Kuu la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, na wawakilishi wa mirengo mbalimbali ya kisiasa ya Sudan wamefichua sababu za kuchelewesha kutiwa saini makubaliano ya mwisho ya kisiasa, ambako kulipaswa kufanyika leo, Alhamisi.