Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • WFP: Familia nchini Sudan zinapitia kipindi kigumu kufuatia mizozo ya kikatili, njaa na uhaba wa fedha

    WFP: Familia nchini Sudan zinapitia kipindi kigumu kufuatia mizozo ya kikatili, njaa na uhaba wa fedha

    Jan 15, 2026 23:23

    Familia nchini Sudan zinasukumwa ukingoni huku "migogoro ya kikatili" na njaa vikiendelea. Mpango wa Chakula Duniani (WFP) pia umetahadharisha kuwa oparesheni zake za kibinadamu za kunusuru maisha ya wananchi wa Sudan zinasusua kufuatia uhaba mkubwa wa fedha.

  • Misri: Umoja wa Sudan ni mstari mwekundu kwetu, hatutasita kuchukua kila hatua kuulinda

    Misri: Umoja wa Sudan ni mstari mwekundu kwetu, hatutasita kuchukua kila hatua kuulinda

    Jan 15, 2026 22:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty amesema, nchi yake itachukua hatua zote zinazohitajika ili kuhifadhi umoja wa ardhi ya Sudan, wakati nchi hiyo jirani inakaribia kuingia mwaka wake wa nne wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyohusisha vikosi vya jeshi SAF na vile vya usaidizi wa haraka, RSF.

  • Madaktari Sudan watahadharisha kuhusu maafa tarajiwa ya kibinadamu huko Kordofan Kusini

    Madaktari Sudan watahadharisha kuhusu maafa tarajiwa ya kibinadamu huko Kordofan Kusini

    Jan 04, 2026 03:35

    Kundi la madakatri wa Sudan limetahadharisha kuhusu maafa tarajiwa ya kiafya na kibinadamu katika mji wa Dalang unaopatikana katika jimbo la Kordofan Kusini. Kundi hilo limesema kuwa mji wa Dalang unaendelea kuzingirwa huku ukikabiliwa na mashambulizi makali ya wanagambo wa RFS.

  • UN yakumbana na hali mbaya El Fasher katika ziara yake ya kwanza tangu mji huo udhibitiwe na RSF

    UN yakumbana na hali mbaya El Fasher katika ziara yake ya kwanza tangu mji huo udhibitiwe na RSF

    Jan 01, 2026 07:43

    Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa mji wa El- Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan unapitia hali ya kutisha kwa binadamu.

  • Jeshi la Sudan lakomboa miji miwili ya Kordofan Kaskazini kutoka mikononi mwa RSF

    Jeshi la Sudan lakomboa miji miwili ya Kordofan Kaskazini kutoka mikononi mwa RSF

    Jan 01, 2026 02:16

    Jeshi la Sudan SAF limetangaza kuwa siku ya Jumatano lilirejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh iliyoko kwenye jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na kundi la RSF.

  • Alkhamisi tarehe Mosi Januari, mwaka 2026

    Alkhamisi tarehe Mosi Januari, mwaka 2026

    Dec 31, 2025 23:15

    Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari mwaka 2026.

  •  Wanawake na watoto ni kati watu  zaidi ya 200 waliouawa katika mauaji mapya ya kikabila huko Darfur

    Wanawake na watoto ni kati watu zaidi ya 200 waliouawa katika mauaji mapya ya kikabila huko Darfur

    Dec 28, 2025 07:09

    Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa watu zaidi ya 200, wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi ya kikabila yaliyofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur nchini Sudan.

  • Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake

    Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake

    Dec 23, 2025 08:24

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kusisitiza umuhimu wa kusitisha vita nchini Sudan, ameonya kuhusu utambulisho wake tata na athari zake zinazopanuka kwa nchi jirani na eneo kwa ujumla.

  • Wanamgambo wa RSF wamewaachia huru wafanyakazi 9 wa sekta ya afya huko Darfur

    Wanamgambo wa RSF wamewaachia huru wafanyakazi 9 wa sekta ya afya huko Darfur

    Dec 20, 2025 10:33

    Mtandao wa Madktari nchini Sudan umeripoti kuwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) umewaachia huru wafanyakazi 9 wa sekta ya afya waliokuwa wakishikiliwa katika magareza na kikosi hicho huko Nyala makao makuu ya jimbo la Darfur Kusini. Hata hivyo kikosi cha RSF bado kinawashikilia wafanyakazi wengine wa afya 73.

  • Mashambulizi ya RSF yaua raia 16 eneo la Kordofan, Sudan

    Mashambulizi ya RSF yaua raia 16 eneo la Kordofan, Sudan

    Dec 19, 2025 23:07

    Takriban watu 16 wameuawa katika shambulio la mizinga la waasi wa RSF lililolenga mji uliozingirwa katika eneo la Kordofan nchini Sudan, huku vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo vikiingia katika awamu hasasi kwenye mwaka wake wa tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS