-
Kiongozi wa kijeshi Sudan aamuru mawaziri 4 waliowekwa kizuizini wakati wa mapinduzi waachiwe huru
Nov 05, 2021 04:19Televisheni ya serikali ya Sudan imetangaza kuwa, Kiongozi wa kijeshi Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa amri ya kuachiwa huru mawaziri wanne wa kiraia waliowekwa kizuizini tangu alipoongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea wiki iliyopita.
-
Jenerali al Burhan alitembelea Misri kwanza kabla ya kufanya mapinduzi Sudan
Nov 04, 2021 08:32Gazeti moja la nchini Marekani limefichua kuwa, kamanda wa jeshi la Sudan alitembelea Misri siku moja tu kabla ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi nchini Sudan.
-
Ujumbe wa Israel uliitembelea Sudan baada ya mapinduzi
Nov 03, 2021 04:13Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Watu watano wafariki dunia katika ajali ya ndege Sudan Kusini
Nov 03, 2021 00:04Watu watano wamefariki dunia katika ajali ya ndege ndogo ya mizigo ambayo ilianguka jana Jumanne, muda mfupi baada ya kuruka katika Uwanja wa Ndege wa Juba, nchini Sudan Kusini.
-
Kamanda wa Jeshi la Sudan amfuta kazi mwendesha mashtaka wa nchi hiyo
Nov 01, 2021 12:38Abdel Fattah al Burhan Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Sudan amemfuta kazi mwendesha mashtaka na mahakimu wengine saba wa nchi hiyo.
-
Kushadidi hali ya mgogoro huko Sudan
Oct 30, 2021 22:52Mgogoro nchini Sudan umezidi kuwa mkubwa. Wanajeshi wangali wanashikilia madaraka; na Abdel Fattah al Burhan Kamanda Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo ametangaza kuwa siku kadhaa zijazo atatangaza majina ya Waziri Mkuu Mpya na wajumbe wa Baraza la Uongozi. Hii ni katika hali ambayo wananchi wa Sudan wanaendelea kumiminika mitaani kupinga kuendelea wanajeshi kuiongoza nchi hiyo.
-
Maandamano ya wananchi dhidi ya mapinduzi ya kijeshi yanaendelea nchini Sudan
Oct 30, 2021 22:51Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameendelea kufanya maandamano katika miji ya Sudan na miji mingine 50 ya kona mbalimbali za dunia ili kutangaza upinzani wao dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchhini humo.
-
Saeed Khatibzadeh: Iran inafuatilia kwa makini matukio ya Sudan
Oct 30, 2021 09:03Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha matukio ya kutia shaka ya hivi karibuni nchini Sudan hayasaidii mchakato wa demokrasia katika nchi hiyo kusema kuwa, Tehran inafuatilia kwa umakini matukio hayo.
-
UN yataka kuachiwa huru maafisa wote wa serikali iliyopinduliwa ya Sudan
Oct 28, 2021 05:54Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan ameto wito wa kuachiwa huru maafisa wote wa serikali iliyopinduliwa hivi majuzi nchini humo.
-
Jenerali wa kijeshi wa Sudan awafuta kazi mabalozi sita wa nchi hiyo nje ya nchi
Oct 28, 2021 03:55Mkuu wa jeshi la Sudan, Jenerali Abdul Fattah al Burhan amewafuta kazi mabalozi sita wa nchi hiyo waliokuwa wanahudumu nje ya nchi.