Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Benki ya Dunia yasimamisha misaada yake kwa Sudan baada ya mapinduzi ya kijeshi

    Benki ya Dunia yasimamisha misaada yake kwa Sudan baada ya mapinduzi ya kijeshi

    Oct 27, 2021 23:05

    Benki ya Dunia imeamua kusimamisha misaada yake kwa Sudan baada ya majenerali wa kijeshi kufanya mapinduzi na kuivunja serikali ya mpito iliyokuwa inawashirikisha pia raia.

  • Kuendelea mgogoro nchini Sudan baada ya kutozaa matunda kikao cha Baraza la Usalama

    Kuendelea mgogoro nchini Sudan baada ya kutozaa matunda kikao cha Baraza la Usalama

    Oct 27, 2021 03:08

    Mgogoro wa kisiasa wa Sudan umezidi kuwa mkubwa baada ya majenerali wa kijeshi kufanya mapinduzi nchini humo. Maandamano ya wananchi yanaendelea huku ukandamizaji wa jeshi dhidi ya waandamanaji ukisababisha mauaji ya zaidi ya watu saba na wengine zaidi ya 140 kujeruhiwa.

  • Mapinduzi ya kijeshi na kuuzuliwa Waziri Mkuu; ishara ya kushadidi mgogoro wa kisiasa Sudan

    Mapinduzi ya kijeshi na kuuzuliwa Waziri Mkuu; ishara ya kushadidi mgogoro wa kisiasa Sudan

    Oct 26, 2021 03:10

    Baada ya kupita siku 33 tangu kutokea jarIbio la mapinduzi lililofeli nchini Sudan, mapinduzi mapya ya kijeshi yametokea katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Ghasia zashtadi Sudan, 7 wauawa huku 140 wakijeruhiwa; AU, UN na EU zatoa kauli

    Ghasia zashtadi Sudan, 7 wauawa huku 140 wakijeruhiwa; AU, UN na EU zatoa kauli

    Oct 26, 2021 01:04

    Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine zaidi ya 140 wakijeruhiwa katika makabiliano baina ya waandamanaji na maafisa usalama nchini Sudan.

  • Sudan yaunda timu maalumu ya kukabiliana na mgogoro wa hivi sasa nchini humo

    Sudan yaunda timu maalumu ya kukabiliana na mgogoro wa hivi sasa nchini humo

    Oct 19, 2021 23:15

    Serikali ya mpito ya Sudan imeunda timu maalumu ya kufuatilia na kutatua migogoro ya kisiasa na kurejesha utulivu wa kijamii nchini humo.

  • Vyama vya siasa nchini Sudan vyatishia kuanzisha uasi wa kiraia

    Vyama vya siasa nchini Sudan vyatishia kuanzisha uasi wa kiraia

    Oct 19, 2021 04:12

    Jumla ya makundi 89 yanayojumuisha vyama, harakati, miungano na kamati za muqawama nchini Sudan yametishia kuanzisha uasi wa kiraia kwa madhumuni ya kukabiliana na mpango wa kuivunja serikali ya mpito ya nchi hiyo.

  • Kushtadi na kupamba moto mgogoro wa kisiasa nchini Sudan

    Kushtadi na kupamba moto mgogoro wa kisiasa nchini Sudan

    Oct 18, 2021 05:13

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan umeshtadi na kuzidi kupamba moto kutokana na kushadidi na kuongezeka matatizo ya kiuchumi na vuta nikuvute za kisiasa katika nchi hiyo.

  • Hamdok: Sudan inasumbuliwa na mgogoro mbaya zaidi wa kipindi cha mpito

    Hamdok: Sudan inasumbuliwa na mgogoro mbaya zaidi wa kipindi cha mpito

    Oct 16, 2021 22:57

    Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok ameonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na "mgogoro mbaya zaidi" katika kipindi hiki cha serikali ya mpito iliyoundwa baada ya kuondolewa madarakani aliyekuwa mtawala wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir zaidi ya miaka miwili iliyopita.

  • Israel yaingiwa na wasiwasi kuwa yamkini Sudan ikabatilisha mapatano ya ushusiano

    Israel yaingiwa na wasiwasi kuwa yamkini Sudan ikabatilisha mapatano ya ushusiano

    Oct 16, 2021 03:45

    Gazeti la Kizayuni la Maariv limefichua kuwa, wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wana wasiwasi kuwa Sudan huenda ikajiondoa hatua kwa hatua katika mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo.

  • Maafisa kadhaa wa Sudan wapigwa marufuku kutoka nje ya nchi

    Maafisa kadhaa wa Sudan wapigwa marufuku kutoka nje ya nchi

    Oct 13, 2021 04:30

    Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan Jenerali Abde Fattah el-Burhan amelitaka shirika kuu la intelijensia la nchi hiyo liwazuie maafisa kadhaa wa serikali wasisafiri kuelekea nje ya nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS