Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Magaidi wanne wa ISIS wauawa nchini Sudan

    Magaidi wanne wa ISIS wauawa nchini Sudan

    Oct 05, 2021 07:16

    Shirika la kijasusi la Sudan limetoa taarifa na kusema kuwa, wanachama wanne wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameuawa nchini humo.

  • Maelfu waandamana Sudan; washinikiza utawala wa kiraia

    Maelfu waandamana Sudan; washinikiza utawala wa kiraia

    Oct 01, 2021 04:14

    Maelfu ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum dhidi ya watawala wa kijeshi na kushinikiza kuundwa uongozi mpya wa kipindi cha mpito ambao utawajumuisha pakubwa raia.

  • Maajenti watano wa Intelijinsia Sudan wauawa katika mapigano na Daesh

    Maajenti watano wa Intelijinsia Sudan wauawa katika mapigano na Daesh

    Sep 29, 2021 04:33

    Idara ya Intelijinsia ya Sudan imetangaza kuwa maajenti wake watano wameuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulio la kuvizia lililoilenga seli ya kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la Jebra huko Khartoum mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Sudan: Hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wetu na Israel

    Sudan: Hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wetu na Israel

    Sep 27, 2021 09:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema kuwa, miezi 11 imepita tangu nchi yake itangaze kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel lakini hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wa pande mbili kama ambavyo hakuna pia mazungumzo yoyote rasmi baina yao.

  • Sudan yacheza ngoma ya Wazayuni, yatwaa mali za harakati ya Hamas

    Sudan yacheza ngoma ya Wazayuni, yatwaa mali za harakati ya Hamas

    Sep 23, 2021 22:47

    Serikali ya Sudan imefuata nyayo za utawala katili wa Israel na kuchukua hatua ya kutwaa mali na milki za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.

  • Waziri Mkuu wa Sudan: Wapangaji wa mapinduzi walikuwa ndani na nje ya jeshi

    Waziri Mkuu wa Sudan: Wapangaji wa mapinduzi walikuwa ndani na nje ya jeshi

    Sep 21, 2021 08:55

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok amesema leo Jumanne kuwa jaribio lililoshindwa la mapinduzi liliandaliwa na watu ndani na nje ya jeshi la nchi hiyo.

  • Jaribio la kuipindua serikali ya Sudan lazimwa

    Jaribio la kuipindua serikali ya Sudan lazimwa

    Sep 21, 2021 03:27

    Serikali ya Sudan imetangaza kuwa imetibua na kuzima jaribio la mapinduzi la kuiangusha serikali hiyo na kutoa mwito kwa wananchi kuwa watulivu sambamba na kuwahakikishia kuwa inadhibiti hali ya mambo.

  • Russia na Sudan kusaini mkataba wa kijeshi hivi karibuni

    Russia na Sudan kusaini mkataba wa kijeshi hivi karibuni

    Sep 14, 2021 02:26

    Balozi mdogo wa Sudan nchini Russia ameashiria baadhi ya marekebisho katika makubaliano ya kijeshi kati ya nchi yake na Russia na kukadhibisha madai kwamba Khartoum itapokea msaada wa kiuchumi kutoka Moscow na akasema: makubaliano ya kijeshi ya Sudan na Russia yatasaniwa muda si mrefu ujao.

  • Jeshi la Sudan lakadhibisha kuwepo juhudi za kufanya mapinduzi nchini humo

    Jeshi la Sudan lakadhibisha kuwepo juhudi za kufanya mapinduzi nchini humo

    Sep 12, 2021 22:37

    Jeshi la Sudan limetoa taarifa na kukanusha kuwepo jitihada za aina yoyote za kufanya mapinduzi nchini humo.

  • Sudan yamwita kumsaili balozi wa Ethiopia baada ya miili 29 kupatikana katika Mto Setit

    Sudan yamwita kumsaili balozi wa Ethiopia baada ya miili 29 kupatikana katika Mto Setit

    Sep 08, 2021 07:20

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imemwita kwa ajili ya kumsaili balozi wa Ethiopia mjini Khartoum baada ya miili 29 inayosadikiwa kuwa ni ya Watigray kupatikana katika Mto wa Setit.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS