-
Sudan yakanusha tuhuma za kuwaunga mkono waasi wa Tigray kwa ajili ya kushambulia Bwawa la Renaissance
Sep 05, 2021 03:16Msemaji wa Kamandi ya Jeshi la Sudan amekadhibisha madai yaliyotolewa na Jeshi la Ethiopia kwamba Khartoum inawasaidia waasi wa Tigray kwa ajili ya kushambulia Bwawa la Renaissance.
-
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kufungua ofisi Sudan
Aug 13, 2021 19:29Sudan na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake huko Hague, Uholanzi zimesaini makubaliano ya ushirikiano kama hatua moja mbele katika jitihada za kushughulikia kesi ya dikteta wa zamani wa Sudan, Omar Hassan al Bashir ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji ya kimbari katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Watu 1,500 wakimbia machafuko Darfur, Sudan
Aug 12, 2021 08:13Kamisheni Kuu ya Misaada ya Kibinadamu ya Sudan imetangaza kuwa, wakazi elfu moja na mia tano wa Darfur wamelazimika kukimbilia katika kambi za wakimbizi zilioko kaskazini mwa eneo hilo la magharibi mwa Sudan kutokana na ghasia na machafuko yanaoendelea katika eneo hilo.
-
Sudan kumkabidhi al Bashir kwa mahakama ya ICC
Aug 11, 2021 21:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema kuwa, viongozi wa nchi hiyo wamechukua uamuzi wa kumkabidhi rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar Hassan al Bashir na makamu wake wawili kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko Hague nchini Uholanzi.
-
Maiti nyingine zapatikana mpakani mwa Tigray, Ethiopia na Sudan
Aug 07, 2021 23:08Maiti zingine sita zimepatikana kwenye kingo za mto unaotenganisha Sudan na eneo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray.
-
Sudan yaazimia kujiunga na mahakama ya kimataifa ya ICC
Aug 04, 2021 22:02Serikali ya Sudan imechukua hatua ya kwanza ya kutaka kujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Makumi ya maiti zapatikana kwenye mto ulioko mpakani mwa eneo la Ethiopia la Tigray na Sudan
Aug 03, 2021 07:45Maiti zisizopungua 30 zilizosombwa na maji zimepatikana kwenye kingo za mto unaotenganisha Sudan na eneo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray. Hayo ni kwa mujibu wa wakimbizi wawili wa Ethiopia na mashuhuda wanne raia wa Sudan waliookota maiti hizo.
-
Sudan yasema Bwawa la an-Nahdha linahatarisha viwanda vyake vya kuzalisha umeme
Aug 02, 2021 06:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amedai kwamba serikali ya nchi hiyo kutokuwa na habari kuhusu mwenendo wa kujazwa maji Bwawa la an-Nahdha katika nchi jirani ya Ethiopia ni tishio kwa viwanda vyake vya kuzalisha umeme.
-
Waethiopia elfu 3 wakimbilia Sudan wakihepa vita katika eneo la Tigray
Jul 28, 2021 22:02Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, wakimbizi wa Kiethiopia zaidi ya elfu tatu wamewasili Sudan katika kipindi cha siku moja tu kufuatia mapigano yanayoendelea huko Tigray kaskazini mwa Ethiopia.
-
Jeshi la Ethiopia lasema liko tayari kulinda Bwawa la Renaissance
Jul 23, 2021 23:25Meja Jenerali Yalma Merdasa, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ethiopia, amesema kwamba kikosi hicho hakijatoa jicho lake kwenye Bwawa la Renaissance hata kwa dakika moja, na kwamba kiko tayari kulinda usalama wa anga wa nchi hiyo.