-
Sudan yaionya Ethiopia kuhusu Bwawa la al Nahdha
Jul 22, 2021 06:21Waziri Mkuu wa Sudan ametoa onyo kwa serikali ya Ethioia isichukue uamuzi wowote wa upande mmoja kuhusu mgogoro wa Bwawa la al Nahdha.
-
Zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha lamalizika
Jul 19, 2021 21:51Licha ya kuweko maonyo na vitisho vikali vya Sudan na Misri, lakini duru moja ya masuala ya umwagiliaji maji nchini Ethiopia imesema kuwa, zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha limekamilika.
-
Indhari kuhusu hatari ya kujiri vita vya ndani huko Sudan
Jul 03, 2021 22:38Chama kimoja cha kisiasa nchini Sudan kimetahadharisha kuhusu mapigano yanayoendelea kati ya makundi ya wanamgambo na kuwepo hatari ya kujiri vita vya ndani nchini humo.
-
Sudan katika lindi la maandamano mapya ya wananchi
Jul 01, 2021 21:58Mgogoro wa kisiasa na kuchumi unaendele kuisumbua Sudan licha ya kupita miaka miwili sasa tangu baada ya harakati ya wananchi iliyopelekea kuondolewa madarakani utawala wa miaka 30 wa Omar al Bashir na kuundwa serikali mpya nchini humo.
-
Ombi la Misri na Sudan kwa Baraza la Usalama; mgogoro wa Bwawa la An Nahda
Jun 28, 2021 05:56Huku awamu ya pili ya kujazwa maji katika Bwawa la An Nahda (Grand Renaissance Dam-GERD-) la Ethiopia katika Mto Nile ikikaribia, Misri na Sudan, nchi mbili ambazo zinapinga ujenzi wa bwawa hilo, zimetaka ujazwaji maji huo usitishwe kwa muda. Nchi hizo mbili zimetaka Ethiopia izipatie dhamana kuwa haki zao zitalindwa, jambo ambalo limeibua taharuki mpya baina ya nchi hizo tatu.
-
Sudan yakubali kwa masharti makubaliano ya muda ya Bwawa la Renaissance
Jun 28, 2021 04:57Waziri wa Mambo ya nje wa Sudan Mariam Al-Sadiq Al-Mahdi amesema kuwa nchi yake imepokea pendekezo kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo la makubaliano ya muda ya kujazwa maji Bwawa la Renaissance yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa na Marekani.
-
NYT: Maiti za vijana waliouawa katika mapinduzi ya Sudan zinakwamisha mchakato wa amani
Jun 27, 2021 22:03Gazeti la New York Times limeandika kuwa taifa la Sudan lilifanikiwa kumuondoa madarakani dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, lakini baadhi ya Wasudani wana shaka kwamba, nchi hiyo haitapata amani kamili hadi pale uhakika juu ya nani aliua mamia ya wanamapinduzi utakapowekwa wazi.
-
Ethiopia yapinga hatua ya Sudan ya kutaka UN ijadili kadhia ya Bwawa la Renaissance
Jun 25, 2021 22:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Ethiopia, Dina Mufti amepinga wito uliotolewa na Sudan wa kufanya kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mgogoro wa Bwawa la Renaissance, akisema ujenzi wa bwawa hilo ni mradi wa maendeleo ambao si katika masuala yanayolihusu baraza hilo lililopewa dhamana ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa.
-
Sudan yavunjwa moyo na matokeo ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Jun 17, 2021 21:56Miezi kadhaa baada ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel kama njia ya kujikurubisha kwa Marekani na kupata misaada ya kifedha ya nchi hiyo, serikali ya Sudan imeeleza kuvunjwa moyo na matokeo ya hatua hiyo baada ya kunyimwa misaada hiyo.
-
Jeshi la Yemen latoa picha za askari wa Saudia, mamluki wa Sudan waliokamatwa
Jun 15, 2021 22:04Idara ya Upashaji Habari ya Kamandi Kuu ya Operesheni za Yemen imesambaza picha na mahojiano waliofanyiwa wanajeshi kadhaa wa Saudia, na mamluki wa Sudan waliokamatwa na vikosi vya Yemen katika operesheni ya hivi karibu katika mkoa wa Jizan, huko kusini mwa Saudi Arabia.