Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Bensouda aitaka Sudan iikabidhi ICC watuhumiwa wa jinai za Darfur

    Bensouda aitaka Sudan iikabidhi ICC watuhumiwa wa jinai za Darfur

    Jun 10, 2021 07:58

    Kwa mara nyingine tena, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewataka maafisa wa serikali ya Sudan kuwakabidhi watuhumiwa wa jinai za kivita katika eneo la Darfur kwa mahakama hiyo, akiwemo rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar Hassan al Bashir.

  • Licha ya Sudan kujikomba kwa Marekani na Wazayuni lakini uchumi wake unazidi kusambaratika

    Licha ya Sudan kujikomba kwa Marekani na Wazayuni lakini uchumi wake unazidi kusambaratika

    Jun 10, 2021 02:22

    Licha ya viongozi wa Sudan kujikomba kwa Marekani na Wazayuni na licha ya kusaliti kadhia ya Palestina na kushiriki katika mauaji ya Waislamu wa Yemen kwa tamaa ya kutatua matatizo yake ya ndani hasa ya kiuchumi, lakini nchi hiyo bado inateswa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi.

  • Wanajeshi wa Ethiopia wamejizatiti katika mipaka ya mashariki mwa Sudan

    Wanajeshi wa Ethiopia wamejizatiti katika mipaka ya mashariki mwa Sudan

    Jun 09, 2021 22:01

    Maafisa wa kijeshi wa Sudan wameripoti kuwa, wanajeshi wa Ethiopia wamekusanyika katika mipaka ya nchi hiyo na Sudan.

  • Wasudan waandamana wakitaka haki kwa waliouawa mwaka 2019

    Wasudan waandamana wakitaka haki kwa waliouawa mwaka 2019

    Jun 03, 2021 22:16

    Wananchi wa Sudan jana Alkhamisi walimiminika mabarabarani katika mji mkuu, Khartoum na miji mingine ya nchi hiyo, kushiriki maandamano ya kutaka kutendewa haki wahanga wa ghasia za mwaka 2019.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan: Tunafanya juhudi za kufikia mapatano kuhusu Bwawa la Renaissance

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan: Tunafanya juhudi za kufikia mapatano kuhusu Bwawa la Renaissance

    May 30, 2021 08:58

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Sudan amesema nchi yake ina azma kubwa ya kufikia mapatano madhubuti na nchi jirani ya Ethiopia kuhusiana na kadhia ya kujazwa maji na kuanza kufanya kazi bwawa hilo.

  • Mazungumzo ya amani yaanza baina ya serikali ya Sudan na waasi wa SPLM huko Juba

    Mazungumzo ya amani yaanza baina ya serikali ya Sudan na waasi wa SPLM huko Juba

    May 26, 2021 21:51

    Mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Sudan na Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Sudan tawi la Kaskazini (SPLM) yalianza jana katika mji wa Juba chini ya usimamizi wa Rais ya serikali ya Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit.

  • Waziri Mkuu wa Sudan alaani mauaji ya maandamano mjini Khartoum

    Waziri Mkuu wa Sudan alaani mauaji ya maandamano mjini Khartoum

    May 13, 2021 02:37

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amesema "ameshtushwa" na mauaji ya waandamanaji wanaotetea haki za Wasudani waliouawa na askari usalama miaka miwili iliyopita na ameyataja mauaji ya sasa kuwa ni "uhalifu wa kutumia risasi hai dhidi ya watu wanaoandamana kwa amani".

  • Sudan yasitisha mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha Russia kwa sababu ya Marekani

    Sudan yasitisha mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha Russia kwa sababu ya Marekani

    Apr 28, 2021 23:13

    Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha nchi hiyo nchini Sudan umesimamishwa na serikali ya Khartoum.

  • Ethiopia: Misri na Sudan hazitaki mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha utatuliwe

    Ethiopia: Misri na Sudan hazitaki mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha utatuliwe

    Apr 27, 2021 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amepuuza vitisho vya Misri na Sudan dhidi ya nchi hiyo na kusema kuwa, Cairo na Khartoum hazitaki kuona mzozo kuhusu Bwawa la al-Nahdha unapatiwa ufumbuzi na kumalizika.

  • Addis Ababa: Hakuna askari yeyote wa Ethiopia aliyekuwa mateka nchini Sudan

    Addis Ababa: Hakuna askari yeyote wa Ethiopia aliyekuwa mateka nchini Sudan

    Apr 22, 2021 03:22

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema Sudan imeikabidhi nchi hiyo wakulima 59 na wanamgambo wawili wa kieneo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS