-
Addis Ababa: Hakuna askari yeyote wa Ethiopia aliyekuwa mateka nchini Sudan
Apr 22, 2021 03:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema Sudan imeikabidhi nchi hiyo wakulima 59 na wanamgambo wawili wa kieneo.
-
Ethiopia: File na bwawa la Renaissance si kadhia ya kimataifa
Apr 16, 2021 07:36Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ethiopia amepinga mpango wowote wa kulifanya suala la bwawa la Renaissance kuwa mgogoro wa kimataifa.
-
Ujumbe wa Sudan kufanya safari rasmi ya kuelekea Israel wiki ijayo
Apr 15, 2021 08:21Maafisa wawili wa Sudan wamefichua kuwa, ujumbe wa serikali ya nchi hiyo utafanya ziara ya kwanza rasmi kuelekea Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) wiki ijayo.
-
Wasudani waandamana mbele ya ikulu ya rais wakilalamikia hali mbaya ya kiuchumi
Apr 12, 2021 05:59Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano mbele ya ikulu ya rais wa nchi hiyo mjini Khartoum wakilalamikia hali mbaya ya uchumi na ughali wa maisha.
-
Sudan: Endapo tutaingia katika vita na Ethiopia tutaibuka na ushindi
Apr 12, 2021 03:40Mjumbe wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan ametangaza kuwa, endapo nchi yake itaingia katika vita na Ethiopia basi itaibuka na ushindi.
-
Sudan: Hakuna ufumbuzi wa kijeshi wa mgogoro wa bwawa la Renaissance
Apr 09, 2021 08:57Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Sudan amesema kuwa, ni jambo lililo mbali kwamba mgogoro wa bwawa la Renaissance unaweza kutatuliwa kwa njia za kijeshi ili kuizuia Ethiopia kuendeleza mradi ujenzi wa bwawa hilo juu ya maji ya Mto Nile.
-
Sudan yapinga tena hatua ya Ethiopia ya kujaza maji katika bwawa la Renaissance
Apr 07, 2021 06:00Serikali ya Sudan imezungumzia tishio la kujazwa maji kenye bwawa la Renaissance lnalojengwa na Ethiopia juu ya maji ya Mto Nile na kusema kuwa, Khartoum itatumia nyenzo zote zinazowezekana kwa ajili ya kulinda raia wake.
-
Sudan yabatilisha sheria ya vikwazo na kuususia utawala haramu wa Israel
Apr 07, 2021 03:08Baraza la Mawaziri la Sudan limebatilisha sheria ya vikwazo na kuususia utawala wa Kizayuni wa Israel, miezi michache baada ya Khartoum na Tel Aviv kuafikiana juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya pande mbili hizo.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan
Apr 06, 2021 01:59Kamati Kuu ya Madaktari wa Sudan imetangaza kuwa, watu wasiopungua 40 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika eneo la El-Geneina kwenye jimbo la Darfur, huko Magharibi mwa Sudan.
-
Kivuko cha mpakani kati ya Sudan na Ethiopia chafungwa
Apr 05, 2021 00:03Viongozi wa Sudan wamechukua uamuzi wa kukifunga kivuko cha mpakani kati ya nchi hiyo na Ethiopia.