-
Kulipwa Marekani na Sudan fidia ya mashambulio katika balozi zake huko Tanzania na Kenya
Apr 01, 2021 21:55Serikali ya Sudan ili iondolewe katika orodha ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ya mataifa eti yanayounga mkono ugaidi, imeilipa Washington fidia ya mamilioni ya dola katika tukio la kushambuliwa balozi za Marekani huko Tanzania na Kenya.
-
Sudan yalipa fidia ya mashambulizi katika balozi za Marekani za Tanzania na Kenya
Mar 31, 2021 21:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, serikali ya Sudan imeilipa fidia nchi hiyo kutokana na mashambulizi ya mabomu ya mwaka 1998 kwenye balozi za Marekani za Nairobi na Dar es Salaam katika nchi za Kenya na Tanzania.
-
Maafisa watano wa Sudan wafa maji kaskazini mwa nchi hiyo
Mar 28, 2021 03:14Maafisa watano wa serikali ya Sudan wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama kutokana na hali mbaya ya hewa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Sudan yaitahadharisha Ethiopia; yasema iko tayari kwa lolote
Mar 21, 2021 22:35Mkuu wa Baraza la Uongozi la utawala wa mpito Sudan amesema kuwa nchi yake imejiandaa kwa lolote na kuitaka Ethiopia kujiweka mbali na ardhi ya Sudan.
-
Addis Ababa: Asilimia 86 ya maji ya Mto Nile ni mali ya Ethiopia
Mar 18, 2021 09:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia amedai kuwa, sehemu kubwa ya akiba ya maji ya Mto Nile ni mali ya nchi yake.
-
Sudan yaituhumu Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la waasi
Mar 09, 2021 01:12Sudan imeituhumu serikali ya Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la uasi ili kuudhibiti mji wa al Karmak huko kusini mashariki mwa Sudan.
-
Sudan yataka upatanishi wa kimataifa kuhusu mgogogoro wa Bwawa la al-Nahdha
Feb 23, 2021 23:12Waziri wa Umwagiliaji na Vyanzo vya Maji wa Sudan amesema kuwa, nchi yake inakusudia kuandaa uungaji mkono na upatanishi wa pande nne kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi mzozo wa Bwawa la al-Nahdha.
-
Umoja wa Afrika waanza upatanishi katika mzozo wa Sudan na Ethiopia
Feb 18, 2021 07:30Duru za kuaminika nchini Sudan zimeripoti kuwa, mjumbe wa Umoja wa Afrika alitazamiwa kuwasili Khartoum akiongoza ujumbe wa upatanishi wa umoja huo katika mzozo wa mpakani baina ya Sudan na Ethiopia.
-
Kuendelea maandamano dhidi ya serikali kote Sudan
Feb 12, 2021 23:23Baada ya kupita miaka miwili tokea uanze mgogoro wa Sudan ambao ulipelekea kuondolewa madarakani Rais Omar Al Bashir mnamo Apirli 2019, nchi hiyo ingali inaendelea kushuhudia migogoro kadhaa ya kisiasa, kichumi na kiusalama.
-
Wafuasi wa al Bashir wazidi kutiwa mbaroni nchini Sudan
Feb 12, 2021 04:13Operesheni za kuwatia mbaroni wafuasi wa serikali iliyopinduliwa ya Omar al Bashir zinaendelea baada ya makamu wa rais huyo wa zamani wa Sudan naye kutiwa pingu.