Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Majimbo 7 ya Sudan yatangaza hali ya hatari, raia waendeleza maandamano ya kulalamika hali mbaya

    Majimbo 7 ya Sudan yatangaza hali ya hatari, raia waendeleza maandamano ya kulalamika hali mbaya

    Feb 11, 2021 23:12

    Majimbo saba ya Sudan yametangaza hali ya hatari kufuatia maandamano ya siku kadhaa mtawalia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo ambapo wananchi wanalalamikia hali mbaya ya maisha na ughali na uhaba wa bidhaa muhimu.

  • Waziri Mkuu wa Sudan atangaza baraza jipya la mawaziri

    Waziri Mkuu wa Sudan atangaza baraza jipya la mawaziri

    Feb 09, 2021 02:29

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ametangaza baraza jipya la mawaziri la serikali yake.

  • Waziri Mkuu wa Sudan avunja baraza lake la mawaziri

    Waziri Mkuu wa Sudan avunja baraza lake la mawaziri

    Feb 08, 2021 04:27

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdullah Hamdok amevunja baraza lake la mawaziri. Katika taarifa iliyotolewa Jumapili, Hamdok amesema mawaziri watabakia katika nafasi zao kwa ajili ya kutekeleza majukumu katika wizara zao hadi wakati wa kuundwa serikali mpya na shughuli ya ukabidhianaji wizara kukamilika.

  • Amnesty International yakosoa kuibuliwa anga ya vitisho na ukandamizaji huko Sudan Kusini

    Amnesty International yakosoa kuibuliwa anga ya vitisho na ukandamizaji huko Sudan Kusini

    Feb 02, 2021 07:43

    Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa idara ya usalama wa taifa ya Sudan Kusini inatumia mamlaka iliyonayo kuibua vitisho na hofu miongoni mwa waandishi habari, wanaharakati na wakosoaji wa serikali; jambo linaloibua hali ya wasiwasi nchini humo.

  • Wagombea wa wizara mbalimbali Sudan watangazwa

    Wagombea wa wizara mbalimbali Sudan watangazwa

    Feb 01, 2021 23:31

    Baraza la uongozi la Sudan limetangaza kuwa limemkabidhi Waziri Mkuu wa nchi hiyo orodha ya majina ya wagombea wa nafasi za uwaziri nchini humo.

  • UNHCR yaitaka Sudan Kusini iimarishe usalama ili wakimbizi warejee nyumbani

    UNHCR yaitaka Sudan Kusini iimarishe usalama ili wakimbizi warejee nyumbani

    Jan 30, 2021 00:56

    Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) Filippo Grandi ameitaka Sudan Kusini kuimarisha usalama, utawala wa sheria na uongozi bora ili kuweka mazingira mazuri kwa wakimbizi kurejea makwao.

  • Sharti la Ethiopia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Sudan

    Sharti la Ethiopia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Sudan

    Jan 28, 2021 22:38

    Ethiopia imetangaza kuwa Sudan inapasa kuondoa wanajeshi wake katika maeneo yenye hitilafu baina ya Addis Ababa na Khartoum ili kufanya mazungumzo nayo.

  • Safari ya Cohen mjini Khartoum sambamba na kuongezeka maandamano dhidi ya serikali ya mpito ya Sudan

    Safari ya Cohen mjini Khartoum sambamba na kuongezeka maandamano dhidi ya serikali ya mpito ya Sudan

    Jan 27, 2021 08:43

    Safari ya Waziri wa Habari wa utawala wa Kizayuni huko Khartoum imefanyika huku maandamano ya wananchi wa Sudan ya kupinga hatua ya serikali ya mpito ya nchi hiyo ya kukubali kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Tel Aviv yakiendelea.

  • Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan

    Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan

    Jan 26, 2021 08:42

    Sambamba na kushadidi matatizo ya kiuchumi nchini Sudan, wananchi wa nchi hiyo wameanza tena kufanya maandamano wakilalamikia hali hiyo.

  • Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu mapigano ya Darfur chamalizika bila ya natija

    Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu mapigano ya Darfur chamalizika bila ya natija

    Jan 23, 2021 01:32

    Kikao cha faragha cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili mapigano ya karibuni katika eneo la Darfur maagharibi mwa Sudan kimemalizika bila ya natija.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS