-
Rais wa Tanzania amteua naibu waziri mpya wa madini, wa kwanza alishindwa kuapa
Dec 11, 2020 07:56Rais John Magufuli wa Tanzania amemteua naibu waziri mwingine wa madini baada ya ule aliyekuwa ameteuliwa awali kusita wakati wa kula kiapo.
-
Lissu aondoka Tanzania kuelekea Ubelgiji akisindikizwa na maafisa wa ubalozi wa Ujerumani
Nov 10, 2020 16:19Tundu Antipas Lissu, aliyegombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameondoka nchini humo kwenda Ubelgiji.
-
Lema aomba hifadhi Kenya, Amnesty yasema asirejeshwe Tanzania
Nov 09, 2020 13:00Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Godbless Lema amekamatwa na maafisa wa polisi Kenya baada ya kuingia nchini humo kinyume cha sheria kwa lengo la kuomba hifadhi ya kisaisa.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano
Nov 05, 2020 11:46Rais John Pombe Magufuli ameapishwa leo Alkhamisi kuhudumu muhula wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Makada 20 wa CHADEMA kizimbani kwa kuchochea maandamano Tanzania
Nov 03, 2020 07:31Jeshi la Polisi mkoani Singida katikati mwa Tanzania limewafikisha mahakamani viongozi na wafuasi 20 wa chama cha upinzani cha CHADEMA kwa tuhuma za kukusanyika na kufanya kikao kinyume cha sheria, kwa lengo la kuhamasisha wananchi kufanya vurugu.
-
Hussein Mwinyi aapishwa kuwa rais wa Zanzibar, viongozi wa upinzani Tanzania Bara wakamatwa na kuwekwa kizuizini
Nov 02, 2020 15:07Dr. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar katika hafla kubwa iliyofanyika visiwani Zanzibar leo.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aendelea kupongezwa kimataifa baada ya ushindi katika uchaguzi
Nov 01, 2020 03:27Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania anaendelea kupongezwa kimataifa kutokana na ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
-
Chadema na ACT Wazalendo vyapinga matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania, Waangalizi wasema ulifuata taratibu
Oct 31, 2020 13:13Vyama vya upinzani nchini Tanzania vya CHADEMA na ACT Wazalendo vimesema kuwa havitambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
-
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania
Oct 29, 2020 22:55Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr. Hussein Mwinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 96,103 sawa na asilimia 19.87.
-
Uchaguzi Tanzania; Upinzani wapoteza viti vingi vya ubunge na udiwani
Oct 29, 2020 08:21Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Tanzania yanaonyesha kuwepo mpambano mkali kati ya chama tawala CCM na chama kikuu cha upinzani Chadema; ambapo upinzani umeonekana kupoteza viti vingi.