-
Baada ya kuongezeka wagonjwa 23, idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Zanzibar yafikia 58
Apr 19, 2020 15:01Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya corona vya COVID-19.
-
Watu 18 waaga dunia katika ajali ya barabarani Tanzania
Apr 15, 2020 08:16Watu 18 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahewa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, mashariki mwa Tanzania.
-
Wagonjwa wapya 14 wa COVID-19 wabainika nchini Tanzania
Apr 13, 2020 08:11Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa, watu 14 ambao wote ni raia wa Tanzania wamepatikana na ugonjwa wa corona na kufanya idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo kufikia 46.
-
Hatimaye corona yailazimisha Tanzania kupiga marufu safari za ndege, Marekani yaongoza kwa vifo na maambukizi
Apr 13, 2020 03:46Hatimaye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga marufuku safari zote za ndege za abiria za kimataifa ikiwa ni siku chache tu baada ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo kusisitizia msimamo wake wa kutofunga mipaka ya Tanzania akisema kuwa kufunga mipaka hiyo kutaziletea madhara makubwa nchi jirani kama za Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Magufuli: Mlipuko wa corona hautafanya uchaguzi mkuu wa Tanzania uakhirishwe
Mar 26, 2020 13:17Rais John Magufuli wa Tanzania amesema uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu hautaakhirishwa licha ya kuwepo kwa mlipuko wa virusi vya corona.
-
Watu 27 waliochukuliwa sampuli ya vipimo vya Corona Tanzania, wako salama
Mar 19, 2020 16:32Watu 27 ambao walichukuliwa sampuli za vipimo vya afya ili kuwachunguza iwapo wameambukizwa virusi vya Corona Covid-19, wapo salama.
-
Mmarekani na Mjerumani waongeza idadi ya walioingia na corona nchini Tanzania
Mar 18, 2020 12:59Idadi ya watu walio na ugonjwa wa COVID-19 imeongezeka nchini Tanzania baada ya vipimo vya raia wawili wa Marekani na Ujerumani kuthibitika kuwa wameambukizwa kirusi cha corona.
-
Tanzania; Mufti afunga madrasa zote, hali ya mgonjwa wa kwanza wa corona inaendelea vizuri
Mar 18, 2020 12:47Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote nchini humo hadi utakapotangazwa utaratibu mpya.
-
SAUTI, Serikali ya Tanzania yafunga shule zote kuanzia za msingi na secondari kuzuia maambukizi ya virusi hatari vya Corona
Mar 17, 2020 17:17Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19) ndani ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Tanzania yafunga shule, matamasha na michezo kwa hofu ya corona
Mar 17, 2020 14:56Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020 ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19)