-
Serikali ya Tanzania yafunga shule, matamasha na michezo kwa hofu ya corona
Mar 17, 2020 14:56Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020 ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19)
-
Tanzania yathibitisha kuwepo mgonjwa wa corona nchini humo
Mar 16, 2020 14:21Serikali ya Tanzania imetangaza kuwepo mgonjwa wa COVID-19 maarufu kama virusi vya corona ambaye aliingia nchini humo jana Jumapili.
-
Jeshi la Polisi Tanzania: Hatujawapiga wabunge wa upinzani
Mar 14, 2020 13:37Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetupilia mbali madai ya kuwapiga wabunge wa chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kusisitiza kuwa, hilo sio jukumu lake.
-
Bernard Membe: Kamati Kuu ya CCM ilifanya uamuzi wa haraka dhidi yangu na kuwaaminisha Watanzania ndivyo sivyo
Mar 09, 2020 14:58Aliyekuwa kada wa chama tawala nchini Tanzania CCM na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Bernard Membe, amesema kuwa kamati kuu ya chama hicho ilifanya haraka kutangaza mapendekezo yake ya kumfukuza ndani ya chama kabla ya kuchukuliwa uamuzi.
-
Dk Bashiru amjibu Membe, asema kama tatizo ni urais tukutane uwanjani
Mar 02, 2020 13:15Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amemjibu Bernard Membe aliyekuwa kada wa chama hicho na Waziri wa Mambo ya Nje wa Zamani wa nchi hiyo, akimtaka kugombea urais kwa tiketi ya chama kingine cha siasa ili wakutane uwanjani.
-
Watanzania waendelea kutoa radiamali kufuatia Bernard Membe kupigwa kalamu nyekundu na CCM
Mar 01, 2020 14:49Uamuzi wa Kamati Kuu ya chama cha Mapinduzi CCM wa kumfukuza uanachama Bernard Membe kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, umepokelewa kwa hisia tofauti na Watanzania.
-
Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu
Feb 27, 2020 16:29Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.
-
Hatimaye Erick Kabendera aachiliwa huru baada ya kukiri makosa na kulipa sehemu ya faini
Feb 24, 2020 13:59Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es salaam imemwachilia huru mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera na kumwamuru alipe faini na fidia ya jumla ya Shilingi milioni 273 baada ya kukiri makosa yaliyokuwa yanamkabili yakiwemo ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi huku akiondolewa shitaka la kuongoza genge la uhalifu.
-
Kambi ya upinzani Tanzania yapata pigo jingine baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema kutimkia CCM
Feb 18, 2020 16:42Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania Dk Vicent Mashinji leo Jumanne Februari 18 amehamia chama tawala CCM na kupokewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.
-
Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha Tanzania wanafunzi walioko China + Sauti
Feb 12, 2020 12:50Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo la kutoingia wala kutoka kwenye mji huo kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.