-
Wananchi wa Burkina Faso waandamana dhidi ya Ufaransa
Jan 21, 2023 06:48Mamia ya wananchi wa Burkina Faso wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu Ouagadougou kushiriki maandamano dhidi ya Ufaransa, hatua inayoonesha jinsi ushawishi wa Paris katika nchi za bara la Afrika unavyoendelea kupungua.
-
Afisa wa Ufaransa atahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani barani Ulaya
Jan 15, 2023 23:40Mkuu wa Kamandi ya Ulinzi wa Kimtandao wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani kwa bara Ulaya.
-
Polisi Ufaransa yashambulia waandamanaji wa 'Vizibao vya Njano'
Jan 09, 2023 00:38Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya Vizibao vya Njano, kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo na hususan mageuzi tata ya pensheni yanayotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.
-
Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa
Jan 07, 2023 06:55Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kurudi nyuma kwa serikali ya Macron dhidi ya upinzani
Jan 05, 2023 22:50Serikali ya Ufaransa Jumanne wiki hii ilidokeza uwezekano wa kutazamwa umpya mpango tata wa Rais Emmanuel Macron wa kubadilisha sheria za pensheni. Hatua hiyo inaonekana kuwa ni kusalimu amri mbele ya wapinzani wa mpango huo.
-
Iran yamuita balozi wa Ufaransa kulalamikia uafriti wa 'Charlie Hebdo'
Jan 05, 2023 00:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran, Nicolas Roche kulalamikia vikali kitendo cha jarida la Kifaransa cha kutukana na kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na thamani za kitaifa na kidini za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kutimuliwa balozi wa Ufaransa Burkina Faso; pigo jengine kwa Paris
Jan 04, 2023 05:32Msemaji wa serikali ya Burkina Faso Jean-Emmanuel Ouedraogo ametangaza kuwa balozi wa Ufaransa Luc Hallade ametakiwa aondoke nchini humo kufuatia kushadidi mgogoro kati ya nchi hizo mbili.
-
Burkina Faso yamtimua balozi wa Ufaransa nchini humo
Jan 03, 2023 04:08Serikali ya Burkina Faso imetangaza kwamba imemtaka balozi wa Ufaransa mjini Ouagadougou, Luc Hallade, aondoka nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa katika kivumbi cha mvutano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 21, 2022 23:38Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,