Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Iran yamuita balozi wa Ufaransa kulalamikia uafriti wa 'Charlie Hebdo'

    Iran yamuita balozi wa Ufaransa kulalamikia uafriti wa 'Charlie Hebdo'

    Jan 05, 2023 00:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran, Nicolas Roche kulalamikia vikali kitendo cha jarida la Kifaransa cha kutukana na kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na thamani za kitaifa na kidini za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Kutimuliwa balozi wa Ufaransa Burkina Faso; pigo jengine kwa Paris

    Kutimuliwa balozi wa Ufaransa Burkina Faso; pigo jengine kwa Paris

    Jan 04, 2023 05:32

    Msemaji wa serikali ya Burkina Faso Jean-Emmanuel Ouedraogo ametangaza kuwa balozi wa Ufaransa Luc Hallade ametakiwa aondoke nchini humo kufuatia kushadidi mgogoro kati ya nchi hizo mbili.

  • Burkina Faso yamtimua balozi wa Ufaransa nchini humo

    Burkina Faso yamtimua balozi wa Ufaransa nchini humo

    Jan 03, 2023 04:08

    Serikali ya Burkina Faso imetangaza kwamba imemtaka balozi wa Ufaransa mjini Ouagadougou, Luc Hallade, aondoka nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa katika kivumbi cha mvutano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.

  • Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia

    Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia

    Dec 22, 2022 03:47

    Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.

  • Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine

    Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine

    Dec 21, 2022 23:38

    Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,

  • Amir-Abdollahian: Uingiliaji wa Ufaransa katika masuala ya ndani ya Iran haukubaliki

    Amir-Abdollahian: Uingiliaji wa Ufaransa katika masuala ya ndani ya Iran haukubaliki

    Dec 21, 2022 03:58

    Akizungumza karibuni na Catherine Collona Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa, Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa hatua za nchi hiyo za kuingilia masuala ya ndani ya Iran.

  • Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi

    Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi

    Dec 18, 2022 06:13

    Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.

  • Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu

    Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu

    Dec 18, 2022 00:42

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa haki za wanawake na nafasi zao vinakabiliwa na hali ngumu katika nchi hiyo.

  • Zaidi ya 100 watiwa mbaroni Ufaransa katika hekaheka za ushindi wa soka dhidi ya Morocco

    Zaidi ya 100 watiwa mbaroni Ufaransa katika hekaheka za ushindi wa soka dhidi ya Morocco

    Dec 15, 2022 03:45

    Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa zaidi ya watu mia moja wametiwa mbaroni mjini Paris baada ya timu ya soka ya nchi hiyo kuishinda Morocco katika nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.

  • Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran

    Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran

    Dec 08, 2022 23:07

    Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS