-
Kuondolewa Press TV Eutelsat kumeonyesha sura halisi ya 'uhuru' wa Magharibi
Dec 08, 2022 08:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya kampuni ya satalaiti ya Eutelsat ya Ufaransa ya kuiondoa hewani Televisheni ya Press TV imefichua sura halisi ya Wamagharibi wanaojinadi kuwa watetezi wa uhuru wa kujieleza.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya redio ya RFI ya Ufaransa
Dec 04, 2022 03:42Serikali ya Burkina Faso imesimamisha nchini humo matangazo ya Redio ya Kifaransa ya RFI inayofadhiliwa na serikali ya Paris, kwa madai ya kutangaza habari za uwongo na upotoshaji.
-
Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya
Dec 02, 2022 06:46Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba ruzuku inayotolewa kwa viwanda vya nchi hiyo dhidi ya makampuni ya Ufaransa ni "hujuma isiyo ya kawaida".
-
Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika
Nov 22, 2022 22:59Katika hali ambayo jinai za Ufaransa katika mataifa mbalimbali barani Afrika zinaendelea kushuhudiwa; Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusiana na satwa na upenyaji wa madola makubwa ya dunia barani Afrika.
-
Vijana wa Ufaransa wapinga marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma
Nov 13, 2022 07:43Matokeo ya uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya vijana wa nchi hiyo wanapinga marufuku vazi la hijabu la Kiislamu katika maeneo ya umma.
-
Rais wa Ufaransa: Inapasa tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Iran
Nov 08, 2022 03:59Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa vitisho vya Iran vimevuka mipaka ya Asia Magharibi, na kueleza kwamba mbinu za kukabiliana na vitisho vya Tehran duniani inapasa zibadilishwe.
-
Waziri wa Ufaransa akiri kuadimika dizeli na petroli mjini Paris
Oct 19, 2022 21:14Waziri wa Usafirishaji wa Nishati wa Ufaransa ametangaza kuadimika mafuta ya dizeli ya petroli katika vituo vya mafuta vya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa nchini Algeria
Oct 11, 2022 07:46Jumapili ya juzi tarehe 9 Oktoba, Waziri Mkuu wa Ufaransa aliwasili katika mji mkuu wa Algeria Algiers akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa ajili ya safari rasmi ya siku tatu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Maelfu waandamana Paris wakitaka Ufaransa iondoke NATO
Oct 09, 2022 23:16Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, wakishinikiza nchi hiyo ijiondoe katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Nchi za Ulaya zitakabiliwa na hali ngumu katika msimu wa baridi kali
Oct 08, 2022 04:14Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema Ulaya itakabiliwa na matatizo mengi katika kujidhaminia gesi wakati wa msimu wa baridi wa mwaka huu.