-
Watu waghadhibika mno Uganda baada ya wabunge kupatiwa yuro milioni 25 kununulia magari mapya
Jul 25, 2021 03:00Wananchi wa Uganda wameghadhibishwa mno na hatua ya serikali ya kuwapatia wabunge kitita cha yuro milioni 25 kununulia magari mapya ya kifakhari katika nchi hiyo masikini ambayo hivi sasa inahiliki kutokana na janga la dunia nzima la ugonjwa wa Covid-19.
-
Wataalamu wathibitisha raia zaidi ya 800 wa Uganda 'wamedungwa' maji wakiambiwa ni chanjo ya Covid-19
Jul 21, 2021 03:23Mamlaka za serikali ya Uganda zimesema, watu zaidi 800 na idadi kadhaa ya wateja wa makampuni tofauti katika eneo la jiji la Kampala wamedungwa chanjo bandia ya Covid-19.
-
Rais wa Uganda ataka kuimarisha uhusiano wa nchi yake na serikali mpya ya Iran
Jul 04, 2021 09:04Rais wa Uganda amemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Sayyid Ebrahim Raeisi akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; huku akieleza kuwa Kampala ipo tayari kuimarisha uhusiano wake na serikali ijayo ya Tehran.
-
Uganda yaidhinisha matumizi ya dawa ya asili 'kutibu Corona'
Jun 29, 2021 21:57Serikali ya Uganda imeidhinisha matumizi ya dawa ya mitishamba ya 'Covidex' kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayosababishwa na virusi ukiwemo ugonjwa wa Covid-19.
-
Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda
Jun 16, 2021 21:59Wakimbizi karibu elfu moja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasili nchini Uganda katika kipindi cha siku chache zilizopita.
-
Shule zafungwa Uganda baada ya Museveni kupiga marufuku mikusanyiko siku 42 kutokana na ungozeko la corona
Jun 07, 2021 08:39Shule na taasisi za elimu zimefungwa kote nchini Uganda na idadi kubwa ya wanafunzi ilionekana leo katika vituo vya usafiri vya miji mikubwa ya Uganda wakijitayarisha kurudi makwao baada ya Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo kupiga marufuku mikusanyiko yote kwa kipindi cha siku 42 kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona.
-
Bobi Wine: Jamii ya kimataifa inathamini zaidi biashara kuliko maadili, haki za binadamu
Jun 04, 2021 22:01Kiongozi wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi Sentamu maarufu kwa jina la Bobi Wine amesema hali ya haki za binadamu nchini Uganda imekuwa mbaya zaidi tangu baada ya uchaguzi wa Januari 14 mwaka huu.
-
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba amshukuru Mungu kwa kumnusuru na kifo
Jun 02, 2021 07:47Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba Wamala ametoa ujumbe mapema leo akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuokoa na kubakia hai baada ya shambulio lililomlenga mapema jana Jumanne katika eneo la Kiasasi jijini Kampala.
-
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda aponea chupuchupu jaribio la mauaji; binti na dereva wake wauawa
Jun 01, 2021 06:38Vyombo vya habari nchini Uganda vimetangaza kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa nchi hiyo amenusurika kuuawa katika jaribio lililofeli dhidi yake.
-
Tanzania yaonya kuhusu Corona ya India, spishi hiyo yaripotiwa Kenya na Uganda
May 07, 2021 03:29Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetadharisha juu ya kuibuka na kuenea kwa spishi mpya ya ugonjwa wa Covid-19 ya India katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.