-
Ongwen kukata rufaa baada ya kuhukumiwa mahakama ya ICC
Feb 15, 2021 09:41Kamanda wa zamani wa waasi wa kundi la Lord’s Resistance Army, Dominic Dominic Ongwen amesema atakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Februari 4 wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ambayo ilimpata na hatia ya kutenda uhalifu 61 wa kivita jinai dhidi ya ubinadamu.
-
Uganda yaishambulia EU kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo
Feb 13, 2021 05:20Serikali ya Uganda imeukosoa vikali Umoja wa Ulaya kwa kile ilichodai kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Kesi ya uchaguzi; Mahakama ya Juu ya Uganda yakataa ombi la Wine
Feb 09, 2021 23:01Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali ombi la mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, la kutaka kufanyia marekebisho faili lake la kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi Rais Yoweri Museveni.
-
Mauaji dhidi yao yaongezeka, waandishi wa habari wataka ulinzi zaidi Uganda + SAUTI
Feb 08, 2021 12:23Kwa mara nyingine waandishi wa habari nchini Uganda wameiomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha ili kuzuia mauaji wanayofanyiwa mara kwa mara na ambayo sasa hivi yamekithiri. Mwandishi wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa zaidi:
-
Uganda yakanusha madai kuwa jeshi lake limeua magaidi 189 wa al-Shabaab
Jan 28, 2021 00:49Serikali ya Uganda imekadhibisha taarifa kuwa jeshi la nchi hiyo UPDF limeua wanachama 189 wa genge la al-Shabaab kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mahakama ya Uganda yaiamuru polisi imuondolee Bobi Wine kizuizi cha nyumbani
Jan 25, 2021 09:12Mahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama vya nchi hiyo viondoe mzingiro vilioweka kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ambaye yuko kwenye kizuizi cha nyumbani tangu ulipofanyika uchaguzi wa rais januari 14.
-
Jeshi la Uganda laua wanachama 189 wa al Shabab nchini Somalia
Jan 23, 2021 04:28Jeshi la Uganda UPDF limetangaza kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wameua wanachama 189 wa genge la al Shabab katika shambulizi la kushtukiza na la kasi kubwa nchini Somalia.
-
Uganda yaikosoa Marekani kwa kuingilia siasa zake za ndani
Jan 19, 2021 23:41Uganda imeikosoa vikali Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Bobi Wine ajitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais Uganda; Museveni aongoza
Jan 15, 2021 11:21Licha ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Uganda kuonesha kuwa Rais Yoweri Museveni yupo kifua mbele, lakini mgombea mkuu wa upinzani, Bobi Wine tayari ameshajitangaza kuwa mshindi wa uchaguzi huo uliofanyika jana Alkhamisi.
-
Wananchi wa Uganda wapiga kura, wasubiri matokeo, wapinzani walalamika
Jan 14, 2021 10:06Mamilioni ya watu wa Uganda leo wamejitokeza na kushiriki kwenye zoezi la kupiga kura baada ya kampeni zilizogubikwa na ghasia.