-
Chama cha Kijani UK chautambua Uzayuni kuwa ni ubaguzi wa rangi, chataka liundwe dola moja tu la Palestina
Oct 05, 2026 10:48Chama cha Kijani cha England na Wales nchini Uingereza kimepiga kura ya kuutangaza Uzayuni kuwa aina ya ubaguzi wa rangi katika hatua isiyo ya kawaida katika mkutano wake wa chama uliofanyika mjini Brighton, kusini mashariki mwa England.
-
Baada ya kujitoa 2016, Uingereza yafikiria kujiunga tena na Umoja wa Ulaya
Oct 01, 2026 02:54Waziri Mkuu wa Uingereza Andy Burnham, amesema, uamuzi wa nchi hiyo wa kujiunga tena na Umoja wa Ulaya, EU utasaidia katika kukuza mahusiano na mataifa mengine ndani ya umoja huo.
-
Israel yaiamuru Uingereza ifunge ubalozi wake mdogo ulioko Baitul Muqaddas Mashariki
Sep 09, 2026 10:17Utawala wa kizayuni wa Israel umeutaarifu ubalozi mdogo wa Uingereza ulioko katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki (East Jerusalem) linalokaliwa kwa mabavu, kwamba lazima uwe umeshaufunga ubalozi huo ndani ya muda wa siku 30. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo na kituo cha habari cha umma cha Israel KAN.
-
Utafiti: Kampuni ya Uingereza ilisafirisha Waafrika kama watumwa hadi Guyana baada ya kukomeshwa
Aug 24, 2026 06:12Gazeti la The Guardian limefichua kuwa, kampuni ya kibiashara ya Uingereza iliendelea kusafirisha Waafrika kama watumwa kwenda Guyana, miaka kadhaa baada ya kukomeshwa utumwa katika sehemu kubwa ya makoloni ya Uingereza.
-
Hamas yawapongeza mabalozi wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaotaka Israel iwekewe vikwazo
Aug 23, 2026 13:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza muungano wa wanadiplomasia zaidi ya 100 wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaozitaka serikali za nchi zao kushirikiana kulinda sheria za kimataifa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina. Mabalozi hao pia wametaka Israel iwekewe vikwazo.
-
Hukumu ya kihistoria nchini Uingereza: Kupinga Uzayuni si chuki dhidi ya Wayahudi
Aug 05, 2026 12:03Katika uamuzi wa kihistoria uliotolewa jana Agosti 4, 2026, Mahakama Kuu ya Rufaa ya Ajira ya Uingereza ilikataa rufaa iliyowasilishwa na Chuo Kikuu cha Bristol dhidi ya msomi David Miller, ikithibitisha mfano wa kisheria unaotambua imani za kupinga Uzayuni kuwa ni itikadi ya kifalsafa inayolindwa chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Usawa ya Uingereza ya 2010.
-
Licha ya ushahidi wa UN, serikali ya UK yakataa kutambua mauaji ya kimbari ya Ghaza
Jul 29, 2026 02:23Serikali mpya ya Uingereza imekataa wito uliotolewa wabunge 80 na wenzao wa kuyatambua mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza, kuuwekea utawala huo wa kizayuni vikwazo kamili vya silaha na kuanzisha vikwazo kamili dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Jumapili, 19 Julai, 2026
Jul 19, 2026 03:48Leo ni Jumapili 4 Mfunguo Tano Safar 1448 Hijria mwafaka na 19 Julai 2026 Miladia.
-
Jumatano, 15 Julai, 2026
Jul 16, 2026 03:12Leo ni Tarehe 30 Mfunguo Nne Muharram 1448 Hijria inayosadifiana na tarehe 15 Julai mwaka 2026.
-
Madaktari na wauguzi wa London wataka kuachiliwa huru daktari wa watoto wa Kipalestina
Jul 13, 2026 03:08Madaktari, wauguzi na wanaharakati wamekusanyika nje ya Chuo cha Kifalme cha Watoto na Afya ya Watoto (RCPCH) jijini London, wakitaka hatua zichukuliwe dhidi ya kukamatwa kinyume cha sheria daktari wa watoto wa Kipalestina Dkt. Hussam Abu Safiya anayeshilikiwa na utawala ghasibu wa Israel.