-
Qur'ani inasema nini kuhusu watu wenye kiburi kama Donald Trump
Oct 21, 2025 10:21Uchambuzi wa Qur'ani kuhusu tabia ya Donald Trump, rais mtata wa Marekani, unamuonyesha kuwa ni mfano wa wazi wa mtu muovu na mwenye kutakabari.
-
SEPAH: Maadui wamedhihirisha tena dhati ya shari yao kwa kumuua shahidi Sayyad Khodaei
May 23, 2022 09:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani mauaji ya mmoja wa askari wake ambaye ni mlinzi wa Haram na kueleza kwamba, maadui kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi.
-
Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima
Jul 15, 2021 01:17Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.
-
Wito watolewa kwa nchi za Afrika Mashariki kubadilisha jina la Ziwa Victoria
Jun 24, 2020 07:32Sambamba na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na kuvunja masanamu ya waungaji mkono wa ubaguzi wa rangi kote duniani, nchi za Afrika Mashariki zimetakiwa kubadilisha jina la Ziwa Viktoria ambalo liko katika nchi za Tanzania, Uganda na Kenya.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kufuata kigezo cha Qur'ani katika kupambana na Uistikbari
Feb 04, 2020 04:44Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo mwengine wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia namna mapinduzi hayo yanavyofuata kigezo cha mafundisho ya Qur'ani kwa ajili ya kupambana na Uistikbari duniani. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari
Feb 19, 2019 07:27Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.
-
Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jul 09, 2018 14:07Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la tawala za kibeberu duniani ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ayatullah Kermani: Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari
Mar 30, 2018 16:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari kwa kufuata nyayo za Imam Ali AS.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu
Feb 01, 2018 08:12Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyowaandalieni kwa munasaba wa siku hizi za maadhimisho ya kuingia katika mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Katika makala hii ya leo tutaangazia kadhia ya 'Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uiskitabiri wa kimataifa na kuunga mkono muqawama au mapambano ya Kiislamu.
-
'Tablighi na vyombo vya habari, kambi kuu ya vita vya Iran dhidi ya uistikbari'
Jul 03, 2017 03:43Naibu wa mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika wa masuala ya utamaduni na kijamii amesema kuwa, leo hii kambi kuu ya vita vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uistikbari ni kambi ya tablighi na vyombo vya habari.