-
Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu
Dec 28, 2016 02:50Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema muqawama na kusimama kidete kutasambaratisha njama za madola ya kibeberu na kiistikbari katika nchi za Syria, Iraq na Lebanon.
-
Zarif: Ubeberu wa nchi za Magharibi duniani umepitwa na wakati
Dec 12, 2016 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za uistikbari na ubeberu wa madola makubwa ya Magharibi zimepita na kwamba enzi hizo hazina nafasi katika dunia ya sasa.
-
Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa
Nov 09, 2016 11:27Tarehe 13 mwezi Aaban mwaka wa Hijria Shamsia ambayo mwaka huu inasadifiana na tarehe 3 Novemba, inatambuliwa hapa nchini Iran kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa.
-
Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"
Oct 25, 2016 07:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'
-
Ayat. Khatami: Njama za maadui za kuipuuza kadhia ya Palestina kamwe hazitafanikiwa
Jul 01, 2016 15:16Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo katika jiji la Tehran amesema kuwa, njama za maadui wa Uislamu za kuipuuza kadhia ya Palestina na Quds Tukufu kamwe hazitafanikiwa kutokana na kuwa macho na kusimama kidete Waislamu hususan wananchi wa Palestina.
-
Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana
Jun 17, 2016 14:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameyatolea mwito mataifa yote ya Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.